bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 631
- 1,268
Ninyi hamuwajui madrid wakishafika hizi stage!!....
Unazani anacheza na Dar cityBenzema hat trick 3-1
Maneno ya mtaaniNinyi hamuwajui madrid wakishafika hizi stage!!....
Mkuu mimi siyo shabik wa city ila nawaombea sana wafike fainali wachukue UCL angalau timu mpya ichukue. Halafu msimu ujao PSG ibebeToka awali nilitabiri fainali ya liverpool vs city, ngija tuone kama utabiri utatokea.
Yani mechi ya leo kama shabik wa mpira ukiikosaItakuwa hatari
hesgoal.tvNaombeni link ya live streaming niangalie sasahivi hii gemu
App ni live football tv euroNisaidieni App niitizame hii mechi.
umewaona dar city 3-1Unazani anacheza na Dar city