Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

Hizo ni speculations tu
Sea port Giants wanatafuta maeneo fulani kwa malengo fulani.
Hakuna namna akawa anataka Bandari zote !
 
Mkataba wetu una upumbavu gani?
 
Ulianza hoja kujenga vizuri Mara pa ukaingizi pumba ndio hoja yako ilipovurugika...
 
Kweli hii ni Tanzania. Sikutarajia mbinu hii kuwepo
 
Safi Sana! Uwekezaji ni jambo zuri! Ila vipi kuhusu mapungufu yaliyopo kwenye mkataba ambayo kwa kiasi kikubwa yanaturudisha utumwani? Hiyo ndio hoja inayopaswa kujibiwa! Huyo jirani yupo tu siku zote!
 
Safi Sana! Uwekezaji ni jambo zuri! Ila vipi kuhusu mapungufu yaliyopo kwenye mkataba ambayo kwa kiasi kikubwa yanaturudisha utumwani? Hiyo ndio hoja inayopaswa kujibiwa! Huyo jirani yupo tu siku zote!
Mikataba yote inayoingizwa inazingatia maslahi mapana ya Taifa na italinufaisha sana Taifa kwa kiwango kikubwa sana
 
Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke?
 
binafsi mimi nazielewa sana jitihada za mama za kutuletea maendeleo
 
Mwandishi unajitoa ufahamu amesahau,nchi jirani member ya EAC ,jirani mwema hulinda rasilimali za jirani yake. Mimi kama maktaba bandali ni muhimu. Basa Tanzania na Dubai tuungane iwe state . Waarabu tuwape mpaka mikoani na sisi tuende Dubai. Tuache EAC maana Mwandishi anyone kenya adui
 
Tumeboresha halafu tumempa Mwarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida iko wapi?
Tulijenga mwendokasi tukamnyang'anya mwekezaji na sasa tunaendesha wenyewe. Vipi tunaiendesha kwa ufanisi?

Uwanja wetu wa Taifa Benjamin Mkapa vipi tunauendeshaji?
Huna hiyo 1.

Una diiiv three makongo secondary.

Na gpa ya .... Ruco university.
Endelea kuomboleza ndugu. Mimi sio levels zako.

Div 1 point 14 ya O level, Div 1 point 7 ya A level na GPA ya 3.4 LLB.

Una lingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…