John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kuna maswali mmeulizwa mara nyingi ila hamtoi majibu..
1. Kwanini mkataba huo wa kukodisha bandari hauna kikomo cha muda, yaani ni wa milele?
2. Kwanini mkataba huo hauwezi kuvunjwa hata kama wawekezaji watathibitika kukosa uwezo?
3. Kwanini bandari za Zanzibar hazihusiki kwenye huo mkataba, bali ni bandari zoote za Tanganyika pekee?
4. Kwanini wahusika wote wakuu wa mkataba ni Wazanzibar?
Haha we jamaa muongo sana kadanye wajinga wenzako huko Bukoba.Shida iko wapi?
Tulijenga mwendokasi tukamnyang'anya mwekezaji na sasa tunaendesha wenyewe. Vipi tunaiendesha kwa ufanisi?
Uwanja wetu wa Taifa Benjamin Mkapa vipi tunauendeshaji?
Endelea kuomboleza ndugu. Mimi sio levels zako.
Div 1 point 14 ya O level, Div 1 point 7 ya A level na GPA ya 3.4 LLB.
Una lingine?
Ushuzi mtupu, propaganda za kitoto mno hizo. Kakaeni chini muandike upya script.Jirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.
Ikumbukwe jirani huyu alikuwa akifadika sana na ukiritimba uliokuwepo katika bandari za Tanzania uliofanya mizigo ichelewe kutoka na meli kuchelewa kushusha bandari jambo lililopelekea wateja wengi kukimbilia katika Bandari yake ya Mombasa!!
Taarifa zaidi zinasema jirani huyu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitumia mwanya wa siasa za Tanzania kupenyeza propaganda kii telejensia ili kufelisha mipango kabambe ya kiuchumi ya Tanzania ikiwemo ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Mji wa kisasa kigamboni, uwekezaji wa treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam ili aendelee kutawala Afrika Mashariki kiuchumi sasa anatapatapa baada ya majasusi wa Tanzania kufanikiwa kukwamisha jitihada zake za kukwamisha makubaliano baina ya Dubai na Tanzania kuhusu Bandari na mkataba husika kupitishwa na Bunge la Tanzania.
Taarifa zaidi zinadai kuwa, Jirani sasa amewekeza sana katika chama fulani cha siasa ambacho kwa muda amekuwa akikifadhili na kuwafadhili wanasiasa na wanachama wake ikiwemo kimatibabu na hata kuwatoroshea kwake pale walipokumbwa na shida nchini Tanzania katika kuhakikisha kinafanya maandamano nchini Tanzania na kuleta pressure kwa wananchi ili serikali ya Tanzania isitekeleze makubaliano na kuingia rasmi mkataba na kampuni ya Dp World ili kuendeleza Bandari zake kwa kuwa anajua endapo Tanzania itafanikiwa kuingia makubaliano na DP World basi ndo itakuwa mwisho wa Bandari zake za Mombasa na Lamu
Hongereni TISS kwa kufanikiwa kuzima hili jaribio la nchi jirani. Sasa mko vizuri katika ujasusi wa kiuchumi.
Kama ni propaganda kwa nini ukaja ku comment kwenye propaganda?Ushuzi mtupu, propaganda za kitoto mno hizo. Kakaeni chini muandike upya script.
Najua uliwaga shule hukuwahi kupata Div nilizopataHaha we jamaa muongo sana kadanye wajinga wenzako huko Bukoba.
Mhaya mjinga kabisa.
Hiyo three ya makongo ndio uwe na akili??
Utakuwa Kati ya wazee waliyouza nchi kwa mjerumaniMtajuana wenyewe mi naangalia uchumi wangu sijali kuhusu uchumi wa inchi wala nini hata mkitaka kuuza tz yote uzeni2
Ziwwke hapa hewaniNajua uliwaga shule hukuwahi kupata Div nilizopata
Usharudi kutoka Nairobi?Utakuwa Kati ya wazee waliyouza nchi kwa mjerumani
Najua sindano imegusa mfupa ila vumilia tu.Mleta mada umelipwa kiasi gani kuanzisha huu uzi wa kiwaki?
Mambo mengine mnajidhalilisha sana hata kama unatumia fake ID.
Lord! Kwani wakenya hawaruhusiwi kuingia mkataba na DP World!! Akili yako ni fupi wewe kilazaJirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.
Ikumbukwe jirani huyu alikuwa akifadika sana na ukiritimba uliokuwepo katika bandari za Tanzania uliofanya mizigo ichelewe kutoka na meli kuchelewa kushusha bandari jambo lililopelekea wateja wengi kukimbilia katika Bandari yake ya Mombasa!!
Taarifa zaidi zinasema jirani huyu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitumia mwanya wa siasa za Tanzania kupenyeza propaganda kii telejensia ili kufelisha mipango kabambe ya kiuchumi ya Tanzania ikiwemo ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Mji wa kisasa kigamboni, uwekezaji wa treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam ili aendelee kutawala Afrika Mashariki kiuchumi sasa anatapatapa baada ya majasusi wa Tanzania kufanikiwa kukwamisha jitihada zake za kukwamisha makubaliano baina ya Dubai na Tanzania kuhusu Bandari na mkataba husika kupitishwa na Bunge la Tanzania.
Taarifa zaidi zinadai kuwa, Jirani sasa amewekeza sana katika chama fulani cha siasa ambacho kwa muda amekuwa akikifadhili na kuwafadhili wanasiasa na wanachama wake ikiwemo kimatibabu na hata kuwatoroshea kwake pale walipokumbwa na shida nchini Tanzania katika kuhakikisha kinafanya maandamano nchini Tanzania na kuleta pressure kwa wananchi ili serikali ya Tanzania isitekeleze makubaliano na kuingia rasmi mkataba na kampuni ya Dp World ili kuendeleza Bandari zake kwa kuwa anajua endapo Tanzania itafanikiwa kuingia makubaliano na DP World basi ndo itakuwa mwisho wa Bandari zake za Mombasa na Lamu
Hongereni TISS kwa kufanikiwa kuzima hili jaribio la nchi jirani. Sasa mko vizuri katika ujasusi wa kiuchumi.
Nairobi wanawashangaa na Dunia nzimaUsharudi kutoka Nairobi?
Najua sindano imegusa mfupa ila vumilia tu.
Tanzania tumeamka na Kenya hatupati tena
Uzuri Ujinga na Akili hujitenga kwenye mitihani. Tutajitenga tu na wajinga wait and see 2025 haifiki. Mafuta na Maji yatajitengaLord! Kwani wakenya hawaruhusiwi kuingia mkataba na DP World!! Akili yako ni fupi wewe kilaza

Wasalimie sana. Waambie tuko machoNairobi wanawashangaa na Dunia nzima
Unajua maana ya kutoruhusu competitor wako aendelee ili wewe ndo utawale soko?Uzuri Ujinga na Akili hujitenga kwenye mitihani. Tutajitenga tu na wajinga wait and see 2025 haifiki. Mafuta na Maji yatajitenga
Uko macho kwa kumpa mwarabu. 🤣🤣🤣🤣 Unawashambuliwa wakenya cause wanachati kiswahili au kiingereza unaelewa. Congo Mumbiji na kwingine hujui chochote. Hadi wahindi wanachekaWasalimie sana. Waambie tuko macho
Unajua maana ya kutoruhusu competitor wako aendelee ili wewe ndo utawale soko?
Then you are commenting in a thread posted by a fool?"Do not argue with a fool because people won't notice the difference".