Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kwani wao wanahudumia Zambia?Usisumbuke hawa jamaa akili kisoda, biashara bila ushindani ni ujinga mkubwa, halafu walivo wapuuzi matatizo yatokee nchini kwako ukaanze kusingizia nchi jirani huo ni upuuzi uliopitiliza
Sawa basi. Mwingereza nae ni kipofu kumpa mwarabu kuendesha bandari ya SouthamptonUko macho kwa kumpa mwarabu. 🤣🤣🤣🤣 Unawashambuliwa wakenya cause wanachati kiswahili au kiingereza unaelewa. Congo Mumbiji na kwingine hujui chochote. Hadi wahindi wanacheka
Naunga mkono hojaKuna maswali mmeulizwa mara nyingi ila hamtoi majibu..
1. Kwanini mkataba huo wa kukodisha bandari hauna kikomo cha muda, yaani ni wa milele?
2. Kwanini mkataba huo hauwezi kuvunjwa hata kama wawekezaji watathibitika kukosa uwezo?
3. Kwanini bandari za Zanzibar hazihusiki kwenye huo mkataba, bali ni bandari zoote za Tanganyika pekee?
4. Kwanini wahusika wote wakuu wa mkataba ni Wazanzibar?
Kwani wao wanahudumia Zambia?
Wanawapenda sana ndio maana wanaongea
Kwa hiyo mkaamu bora kubutua mpira nje ukadondokee uarabuni?Jirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.
Ikumbukwe jirani huyu alikuwa akifadika sana na ukiritimba uliokuwepo katika bandari za Tanzania uliofanya mizigo ichelewe kutoka na meli kuchelewa kushusha bandari jambo lililopelekea wateja wengi kukimbilia katika Bandari yake ya Mombasa!!
Taarifa zaidi zinasema jirani huyu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitumia mwanya wa siasa za Tanzania kupenyeza propaganda kii telejensia ili kufelisha mipango kabambe ya kiuchumi ya Tanzania ikiwemo ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Mji wa kisasa kigamboni, uwekezaji wa treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam ili aendelee kutawala Afrika Mashariki kiuchumi sasa anatapatapa baada ya majasusi wa Tanzania kufanikiwa kukwamisha jitihada zake za kukwamisha makubaliano baina ya Dubai na Tanzania kuhusu Bandari na mkataba husika kupitishwa na Bunge la Tanzania.
Taarifa zaidi zinadai kuwa, Jirani sasa amewekeza sana katika chama fulani cha siasa ambacho kwa muda amekuwa akikifadhili na kuwafadhili wanasiasa na wanachama wake ikiwemo kimatibabu na hata kuwatoroshea kwake pale walipokumbwa na shida nchini Tanzania katika kuhakikisha kinafanya maandamano nchini Tanzania na kuleta pressure kwa wananchi ili serikali ya Tanzania isitekeleze makubaliano na kuingia rasmi mkataba na kampuni ya Dp World ili kuendeleza Bandari zake kwa kuwa anajua endapo Tanzania itafanikiwa kuingia makubaliano na DP World basi ndo itakuwa mwisho wa Bandari zake za Mombasa na Lamu
Hongereni TISS kwa kufanikiwa kuzima hili jaribio la nchi jirani. Sasa mko vizuri katika ujasusi wa kiuchumi.
Kwa hiyo shida ni uarabu? Sio mkataba tena?Kwa hiyo mkaamu bora kubutua mpira nje ukadondokee uarabuni?
Watanzania walishaona kwa Epa, Iptl, Net group Richmond nk. Mikataba ilipitishwa kwa makofi mengi..mwishowe ilijulikana kuwa hovyo kabisa..1. Haya makubaliano ya sasa yanaitwa IGA, suala la ukomo wa muda yatawekwa kwenye HGA
2. Nani kakwambia mkatab hauvunjwi? Mkataba una kipengele cha Disputes Settlement unasemaje hauvunjwi?
3. Bandari za Zanzibar zishushe zinashusha mzigo kupeleka nchi gani? Ziko strategic kiuchumi kwa Tanzania?
.
4. Hii ni propaganda mfu. Viongozi wote ni watanzania. Kwa nini kwenye kumalizia ujenzi wa miradi ya kitaifa huulizi kama ni Wazanzibar?
Hako kajamaa kanaa div three makongo.Ziwwke hapa hewani
Watanzania walishaona kwa Epa, Iptl, Net group Richmond nk. Mikataba ilipitishwa kwa makofi mengi..mwishowe ilijulikana kuwa hovyo kabisa..
Epa ni mkataba kwani? Na ilipitishwa wapi? Na Bunge gani? Unajua hata maana ya Epa?Watanzania walishaona kwa Epa, Iptl, Net group Richmond nk. Mikataba ilipitishwa kwa makofi mengi..mwishowe ilijulikana kuwa hovyo kabisa..
Ulivyosema epa ni mkataba tu nimeona wewe ni zumbukukuTuna uzoefu wa mikataba ya kipuuzi ya hawa jamaa anzia Epa, IPTL, migodini huko, mtwara kwenye gesi wanashangiliaga hivihivi baadae ukiwauliza wanakua hawana majibu
Endelea kupiga ramliHako kajamaa kanaa div three makongo.
..
Tena kalisoma HGE.
Ulivyosema epa ni mkataba tu nimeona wewe ni zumbukuku
Unajua NMB inaendeshwaje? Unajua kabla ya kubinafsishwa ilikuwa na hali gani?CCM wana sera za kijamaa hawaujui ubepari ndio maana wanagawa rasilimali zetu burebure bila aibu maana wao hawajui ulimwengu wa kibepari unamaanisha nini na kamwe nchi haitonufaika kwa kubinafsisha vitu hiyo haitokuja kutokea kamwe
Endlea kudanganya watu hapa JF.Endelea kupiga ramli
Kwani kumbe hapa kazi yenu ni kutetea watu?Endlea kudanganya watu hapa JF.
Unapoteza muda wako bure tu hapa kutetea watu ambao hata hawajui if you exist.
Sasa wewe mjinga kuuza bandari ndio maendeleo.Kwani kumbe hapa kazi yenu ni kutetea watu?
Mimi sitetei mtu ila natetea maendeleo ya kweli ya Tanzania