Kwa mara ya kwanza leo nimekunywa bia

Kwa chupa moja mkuu hutapata kitu aisee. Halafu achana na castle lite na hili baridi hutapata stim mapema, piga konyagi au value. Ila kwakua we ni mgeni ungepiga safari kubwa moja au castle lager.
KARIBU CHAMANI

NAWASILISHA
 
karibisha na manabii wengine maana TBL wamepata sana hasara na wanashindwa kuchangia kodi ili pato la taifa likue , nadhani unafahamu kama tuko kwenye uchumi wa katikati yaani kitovuni
 
Mimi nikinywa huwa napenda sana kupiga story na huwa haziishi yani ule upole unatoweka, nikiwa karibu na watoto huwa nakaa katika yao na naanza kuhadithia
 
Wenzako walianza hivyo hivyo hatimaye sasa hawalewi,ni lazima azipige hizo kama 5 ndio asikie zinaanza kumuingia kichwani...
 

Achana na Pombe.
 
Karibu kwenye vikao vya maendeleo, bia tamu ukiwa na wadau mnajadili na kupeana michongo mbalimbali ya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…