Kwa Mara ya kwanza Napongeza Ubunifu alioufanya Makonda Arusha

Kwa Mara ya kwanza Napongeza Ubunifu alioufanya Makonda Arusha

Broo nimezaliwa kaskazini Arusha haijawahi kushuka kiutali isipokuwa kipindi cha corona 2020-2021 na sera mbovu za Magu, ndiyo maana Arusha ina hoteli nyingi sn za kitalii kuliko mji wowote hapa EAC
Mangi kwa hiyo Nairobi haina hoteli nyingi kama za Arusha ?hivi yale mabanda ya hoteli pale arusha mjini nazo ni hotel au ni vyumba vya kulala wageni?
 
Baadae kitakufa, wakati nakuwa nilikutana na kilimo kwanza ikafa, ikaja BRN ikafa, serikali ya viwanda ikafa(viwanda mia 3 kila mkoa ya Jafo), royal tour ikafa, leo maigizo ya land rover sijui hakuna lolote, ukiambiwa budget na kitakachopatikana ni mbingu na ardhi, TRA huwa wanasema wamekusanya 3T lakini huwezi kusikia wanasoma mapato na matumizi hata siku moja ni utapeli tapeli tu
Hivi unafikiri kila binadamu ni tapeli kama mzee mbowe?
 
Mimi nilijua LAND ROVER ni brand ya TZ IPO ktk promotion.

Kumbe ni Ujinga Ujinga tu.
 
Ni sawa na kumsifia mtu alomtia mkeo kuwa ni mkulima bora
 
Hii kitu inaweza kugeuka kuwa kitu kikubwa hata majirani wakaanza kushiriki.
Simkubali ila hii inaweza kuvutia watalii kama ulivyosema. Sema aache kujifanya wazir wa nchi eti trafiki akikukamata mwambie anipigie mimi. Yani utoke mbeya na gari bovu trafiki wakuache kisa makonda kasema.
Na Makonda asinge sema hivyo zisingefika hata Land-rover 50 Arusha nakuambia!![emoji113]
 
Akiwa DC wa Kinondoni kwa ushirikiano na Ruge Mutahaba alianzisha Malkia wa Nguvu na yeye kuvishwa taji ya Balkia wa Nguvu na hapa ndipo akina sisi watu wa “Kauli Umba” tukamtolea kauli humu humu JF, iliyomuumbia u RC
wa DSM Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Naomba kuheshimu mawazo yako hata kwa kuliona hili moja tuu ni mwanzo mzuri wa kumuangazia Konda Boy with positive prospective outlook kutoka kwa mtu kama wewe, it does something good for him and his endeavors on the aspect the power of positive thinking that will make this festival a big thing in future, wasiwasi wangu ni kitu kinachoitwa continuity on the part of mamlaka yake ya uteuzi, ”ukipata tuu a "limelight” kosa!, utaonekana you are trying to steals the show!unang'olewa!. Inferiority complex ni tatizo on her part!, kuna mtu alitumbuliwa uwaziri kwa kosa la kupiga picha na rais fulani!. Baada ya mwenezi kung'ara, akaonekana ana overshine, akaondolewa!, baada ya Jerry Slaa kushine ardhi, akaondolewa!, baada ya Mtaka kushine Dodoma, akatupwa Njombe!, hivyo dogo akishine sana Arachuga, huchelewi kusikia amehamishwa kuwa RC Lindi au Singida, where is the continuity?

P
Konda afanye awezavyo - uhamisho ukija bado itakuwa sawa - kule nako atafanya mengine - kinachompa konda sifa ni uwezo binafsi na ubunifu.

Duniani kote mwendelezo ni changamoto
 
Mangi kwa hiyo Nairobi haina hoteli nyingi kama za Arusha ?hivi yale mabanda ya hoteli pale arusha mjini nazo ni hotel au ni vyumba vya kulala wageni?
Tatizo ni umasikini wako yaani ukifika Arusha unaishia mitaa ya makao mapya.next time ukija Arusha tuulize upelekwe maeneo yenye hoteli.
Ila hakikisha una hela
 
Tatizo ni umasikini wako yaani ukifika Arusha unaishia mitaa ya makao mapya.next time ukija Arusha tuulize upelekwe maeneo yenye hoteli.
Ila hakikisha una hela
Hizo hotel za nyota tano ziko chache sana Mangi
 
Mangi kwa hiyo Nairobi haina hoteli nyingi kama za Arusha ?hivi yale mabanda ya hoteli pale arusha mjini nazo ni hotel au ni vyumba vya kulala wageni?
Mwache akikua atapungaza mihemko!
Maana hata Zanzibar anaona haina hotel kama Arusha!
 
Tatizo ni umasikini wako yaani ukifika Arusha unaishia mitaa ya makao mapya.next time ukija Arusha tuulize upelekwe maeneo yenye hoteli.
Ila hakikisha una hela
Hotel nyingi Arusha za kawaida sana mimi nijuavyo hotel ziko Serengeti na Karatu huko!
Labda hotel alozindua Samia mwaka juzi ndo nyota tano zingine hapo hapana!
 
Huwezi kuelewa wewe UWT
Mnatia KINYAA,hivi wewe unekuwa msemaji wa DANGOTE tokea lini ? Tafauta kazi ya kufanya Mangi ,unafikiri kupata uwekezaji wa kiwango alichowekeza DANGOTE ni kama kutupia picha ya jumba la mzee mbowe humu ehe?
 
Mimi sio mshabiki wa Makonda, kutokana na namna ninavyomjua. Tabia zake binafsi na hulka zake ndo chanzo kikuu cha mimi kutokuwa shabiki wake na kila siku kumpinga kwenye masuala mengi sana.

Katika kumfuatilia kwangu tangu akiwa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, then Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, mpaka alivyokuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi na sasa Mkuu wa Mkoa wa Arusha nadhani amefanya jambo moja tu ambalo naliona kama jambo la maana lenye impact chanya kwenye uchumi wa nchi.

Jambo hili ni huu ubinifu wa Land Rover Festival!

Pamoja na Rais Samia kuanza kusemwa vibaya na media za kimataifa ila tunakumbuka kuwa kwa muda wa miaka 3 sasa media hizi zilikuwa zikimsema vizuri sana hadi kuleta impact kubwa sana kwenye sekta ya utalii ambayo ndo chanzo chetu kikuu cha fedha za kigeni zinazotunisha mfuko wetu wa Benki Kuu bila kusahau uwekezaji wa kigeni (FDI)

Ni dhahili sasa kuwa, suala hili la Land Rover Festival ni ubunifu mkubwa sana katika kupiga chapuo ukuaji wa Utalii nchini Tanzania na kuufanya ukue zaidi katika siku za mbeleni na kuongeza mapato ya Taifa.

Nimependa publicity ya hili tukio na kusema kweli publicity hii ikienda hewani hadi kimataifa inaweza kuja kufanya mwaka kesho wakaja hadi waingereza na wajerumani kuja kushiriki hili Tamasha kwa kuleta magari yao.

Soma Pia: RC Makonda: Oktoba 2024 tuna maonesho ya Landcruiser, Range na Landrover 1000

Mwisho pamoja na kumpongeza Makonda kwa hii creativity na publicity yenye matokeo chanya kwenye uchumi wa nchi.

Napendekeza pia Festival hii ihusishe matukio ya burudani kama vile mziki na maonyesho ya vyakula mbalimbali vya kitanzania.

Hili kusema kweli litakuza sana Utalii wetu na miaka ya mbeleni linaweza kuja kuwa Tamasha kubwa kama yale ya Carnival (Brazil) na mengineyo tunayoyafahamu Duniani.

Pili najua huu ni mwanzo ila ni vizuri Tamasha hili likawa linafanyika hata kwa Wiki nzima ili kuweka nafasi ya matukio mengi kufanyika.


Hongera Makonda. Huu ndo ubunifu tunaoutaka sio yale mambo yako ya kijinga ya kuchongea watu, ufitini, wivu wa madaraka, ufisadi, na kutafuta cheap popularity!

Keep it up!

Lord denning
Ujue ni ubunifu wa watu wa Arusha na sio Makonda. Kwani Samia ndiye aliyebuni Royal Tour?
 
Mnatia KINYAA,hivi wewe unekuwa msemaji wa DANGOTE tokea lini ? Tafauta kazi ya kufanya Mangi ,unafikiri kupata uwekezaji wa kiwango alichowekeza DANGOTE ni kama kutupia picha ya jumba la mzee mbowe humu ehe?
Jenga na wewe acha wivu wa kijinga
 
Back
Top Bottom