Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #81
Kuhusu gharama iyo hoja nyingine. All in all mimi uzi wangu umejikita kwenye festival yenyewe na faida yake kwa nchi kiutalii na kiuchumi kuanzia sasa hadi miaka ijayo huko.
Wajinga ndio waliwao
Tuna safari ndefu sana ya kujitambua
Umejiuliza nani amefadhili hili?
Kwa pesa ya nani? Kwa faida ya nani? Why now?
Endeleeni kusifu na kuabudu.
Huyu na matukio yooooote bado mnamsifu ?
Kuna watu wanalia usiku na mchana kwa kudhulumiwa mengi ninyi mpo humu kumshangilia kafanya jambo. Lipi jambo?
Tuombe Neema ya Mungu kwa Taifa lipate kukombolewa.
Adui wa Mwafrika ni Mwafrika mwenyewe.