Kwa Mara ya kwanza Napongeza Ubunifu alioufanya Makonda Arusha

Broo nimezaliwa kaskazini Arusha haijawahi kushuka kiutali isipokuwa kipindi cha corona 2020-2021 na sera mbovu za Magu, ndiyo maana Arusha ina hoteli nyingi sn za kitalii kuliko mji wowote hapa EAC
Mangi kwa hiyo Nairobi haina hoteli nyingi kama za Arusha ?hivi yale mabanda ya hoteli pale arusha mjini nazo ni hotel au ni vyumba vya kulala wageni?
 
Hivi unafikiri kila binadamu ni tapeli kama mzee mbowe?
 
Mimi nilijua LAND ROVER ni brand ya TZ IPO ktk promotion.

Kumbe ni Ujinga Ujinga tu.
 
Ni sawa na kumsifia mtu alomtia mkeo kuwa ni mkulima bora
 
Na Makonda asinge sema hivyo zisingefika hata Land-rover 50 Arusha nakuambia!![emoji113]
 
Konda afanye awezavyo - uhamisho ukija bado itakuwa sawa - kule nako atafanya mengine - kinachompa konda sifa ni uwezo binafsi na ubunifu.

Duniani kote mwendelezo ni changamoto
 
Mangi kwa hiyo Nairobi haina hoteli nyingi kama za Arusha ?hivi yale mabanda ya hoteli pale arusha mjini nazo ni hotel au ni vyumba vya kulala wageni?
Tatizo ni umasikini wako yaani ukifika Arusha unaishia mitaa ya makao mapya.next time ukija Arusha tuulize upelekwe maeneo yenye hoteli.
Ila hakikisha una hela
 
Tatizo ni umasikini wako yaani ukifika Arusha unaishia mitaa ya makao mapya.next time ukija Arusha tuulize upelekwe maeneo yenye hoteli.
Ila hakikisha una hela
Hizo hotel za nyota tano ziko chache sana Mangi
 
Mangi kwa hiyo Nairobi haina hoteli nyingi kama za Arusha ?hivi yale mabanda ya hoteli pale arusha mjini nazo ni hotel au ni vyumba vya kulala wageni?
Mwache akikua atapungaza mihemko!
Maana hata Zanzibar anaona haina hotel kama Arusha!
 
Tatizo ni umasikini wako yaani ukifika Arusha unaishia mitaa ya makao mapya.next time ukija Arusha tuulize upelekwe maeneo yenye hoteli.
Ila hakikisha una hela
Hotel nyingi Arusha za kawaida sana mimi nijuavyo hotel ziko Serengeti na Karatu huko!
Labda hotel alozindua Samia mwaka juzi ndo nyota tano zingine hapo hapana!
 
Huwezi kuelewa wewe UWT
Mnatia KINYAA,hivi wewe unekuwa msemaji wa DANGOTE tokea lini ? Tafauta kazi ya kufanya Mangi ,unafikiri kupata uwekezaji wa kiwango alichowekeza DANGOTE ni kama kutupia picha ya jumba la mzee mbowe humu ehe?
 
Ujue ni ubunifu wa watu wa Arusha na sio Makonda. Kwani Samia ndiye aliyebuni Royal Tour?
 
Mnatia KINYAA,hivi wewe unekuwa msemaji wa DANGOTE tokea lini ? Tafauta kazi ya kufanya Mangi ,unafikiri kupata uwekezaji wa kiwango alichowekeza DANGOTE ni kama kutupia picha ya jumba la mzee mbowe humu ehe?
Jenga na wewe acha wivu wa kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…