Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Hii ndio comment yangu ya mwisho hapa maana hujibu maswali ya msingi unaendelea kuandika upuuzi ambao sioni haja ya kuendelea kuusoma au kukujibu..
 
πŸ”ŠπŸŽΆπŸŽ΅πŸ’ƒSingeli ya tlaatlaah!
 
Hii ndio comment yangu ya mwisho hapa maana hujibu maswali ya msingi unaendelea kuandika upuuzi ambao sioni haja ya kuendelea kuusoma au kukujibu..
calm down mwalimu Matrix19, my friend nakuja dm tumalize hii habari yako,

relax bas kidogo kwanza πŸ’
 
Huo ubunge labda wa nccr au cdm kwenye majimbo ya ndani kabisa huko, ila ccm ukienda kuchukua fomu na Baja hata usingepewaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, Kila mtia Nia ana V8 hata ya kuazima
Navitambi mdebwedo pia inakua kigezo muhimu.
 
Senear, kazi kweli
 
Yeah, maisha ubishi.
 
🌈 Unasema umemaliza chuo kikuu, kisha hujui kuandika kwa kutofautisha wakati uliopita, uliopo na ujao?!
 
Ushaibiwa wewe!!

Huyu jamaa tunakunywa nae bia kila siku, Riverside Bar alishinda Ubunge upi huo?
wakaati nawashukuru na kuwaaga ndrungu zangu wana Dar es Salaam last month kulikua na jotro si mchezo,

muungwana moja alinihoji, Je nimewahi kufika river side katika kipindi ulichoishi dar?
nikamjibu hapana, akanambia bas bado siijui dar....

sasa napoona nawe unaipamba na kuniunganisha nami as if tunakutana sana apo, next time nikija dar breki ya kwanza ni apo river side ili nami nikajiridhishe na kushuhudia yaliyomo mtaa huo πŸ’
 
na tutaanza kazi ya ufugaji mang'ombe ya maziwa na nyama kwa kisasa, na ndio sasa tupate maziwa ya kutosha, nyama nzuri, lakini pia ngozi yenye kukidhi viwango vya soko la kitaifa na kimataifa ...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kam kwel vile ,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🌈 Unasema umemaliza chuo kikuu, kisha hujui kuandika kwa kutofautisha wakati uliopita, uliopo na ujao?!
🀣naona mwalimu mkuu wa kiswahili umeingia kwa kishindo sana....

eeh embu tafadhali rekebisha kitaalamu, mahali ambapo kuna dosari au kasoro za kiuandishi mathalani sarufi, nyakati, lahaja, mofimo n.k

maana nataka kuingia sehemu ya pili ya true story kikamilifu zaidi.....

sijaelewa kwenye siasa umekuja kufanya nini, HKL ulikua unafanya vizuri zaidi kwenye kiswahili πŸ’
 
Kam kwel vile ,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
that is the truth....

hakuna anaweza eleza namna hiyo humu ndani, zaidi ya ya mimi na waziri mwenye dhamana ya mifugo πŸ’

ukitaka kuamini haya fatilia bajeti ya mifugo kwenye mang'ombe utaona hii nimekuonjesha 🀣
 
Mpaka kampeni za kura za maoni zina anza nina elf35 mfukoni....
Ha ha. Mkuu si uweke tu namba ya simu, uchangiwe hapa na mabilionea wa JF, uwe Mbunge wa Kwanza kutokea kwa mchango wa wahudhuri wa mtandao huu?

Ukipata huo ubunge utakubali Viieti?
 
Kwani elimu ni nini!!?

Ni uandishi ulionyooka hapa jukwaani!!?

Kwanza elimu Gani unayoitumia kumpima mwandishi!!?hii ya kikoloni tulioirithi ya kuchora panzi ubaoni!!?au hii ya kabudi alioitumikia akajiona yupo jalalani!!?

Tanzania hatuna elimu mkuu,tuna kujua kusoma na kuandika katika level tofauti tofauti hasa wengi wetu tumejifunza TU kiingereza Cha kunywea maji lakini sio elimu!!

"Elimu ni kutumia nature kutatua matatizo yaliyopo"sio hii ya utumwa was kusaka ajira Kwa graduates,mtaala wa elimu ya ukweli nitauleta Mimi nitakaposhika stronghold, Jackson makweta angeileta lakini nguvu za Giza zilimzuia kugombea urais,Anga linaenda kutulia ndipo nitatimiza kiu ya Mungu aliyokuwa nayo Jackson Makweta Kwa Tanzania!!

Ndipo pale professional zitakapolipa kuliko siasa zilivyo sasa coz hatuwezi PATA maendeleo kama ualimu unadharaulika,uweledi unakimbiwa na wasomi kuona siasa ni ya maana kuliko professional zao walizosoma Kwa miaka 17 na hekima ya usomi kudharaulika!!

Iliopo sio elim hata hiyo unayojivunia siyo elimu,elim ya kweli ataisoma mjukuu wako nitaileta mkuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…