Kwa mara ya kwanza nimehisi kuwa na umuhimu

Asante Mungu wewe huna choyo. Jina lako lipewe sifa, baba bariki na wengine ambao hawana kazi wapate hata kidogo.

Baba wakumbuke wote wasio na kazi wanaangaika bila msaada , kwa wakati huu ambapo hawawezi kuhudumia wazazi baba wewe simama walinde na maradhi na majanga ya aina yeyote.

Baba hata wale walio na kazi bariki hicho kidogo wanachokipata lakini pia wakumbuke kusaidia wazazi pia wengine.

Baba na nakuomba sala hii nakuomba uipokee kwa niaba ya wote tuliosoma hapa, najua kabisa sijui kuomba ipasavyo ila pokea pokea maombi haya hivyo hivyo.

Mungu baba kubwa kuliko yote, ninakuomba utulindie wazazi waone mafanikio yetu. Amina.
 
Kwani mkuu we taasisi zote zilizopo hapa bongo unajua salary scheme na other allowance kwa new employees?
Kwanza kijana hajaweka wazi kuwa hiyo hela ni loan au allowance kwa new hire au ni malipo ya jumla baada ya project flani.
 
Sasa akupm wewe pm yako si imefungwa Na kuchomewa welding kabisa, itabidi tuite mafundi Kwanza kuja kuvunja kama alivyofanya insider kwenye nyumba ya Irene[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Leo niliifungua special kwaajiri yake [emoji4][emoji4][emoji4]
Afu mbona hujaniita kumbe story imeendelea
 
Mbona watu wanalipwa..kwenye NGO'S hio ni hela ya kawaida kabisa
 
Unakuta huyu jamaa ndiyo maisha yanampiga haswaa sasa anapoona stori ya huyu jamaa ni ngumu kuamini hilo...

Maisha hayana formula
 
Ukitoka wazazi, "Ndugu, wanawake na starehe" hii combination HAINA SHUKURANI.
We "Save" hiyo income the Anza side hustle..

Michongo mizuri inakawaida ikibuma HUBUMA KWELI.

NB:- Sijasema uishi kama digidigi ila "Be a saver not a mean" and Save to invest.

#YNWA
 
Umeituma kwa bi mkubwa ghafla unashangaa miaka imeenda kumbe mzee ajui ata kama una tumaga pesa
Yap:- angeigawa

Ndugu wanaume tuwe tuna tuma kwa baba zetu pesa.

Tusisahau "itafika kipindi na sisi tutakuwa baba za watoto wafanyakazi"

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…