karonga
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 681
- 1,128
Kwani wewe sio dem mzuri? Aanze Na wewe Kwanzanjoo pm nikupeleke mahali kuna mademu wazuri na bia za pale tamu kishenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe sio dem mzuri? Aanze Na wewe Kwanzanjoo pm nikupeleke mahali kuna mademu wazuri na bia za pale tamu kishenzi
Kwani mkuu we taasisi zote zilizopo hapa bongo unajua salary scheme na other allowance kwa new employees?Wakati mwing
Wakati mwingine hadithi kama hizi huwa zinamriwaza mtu!! unajitungia hadithi nzuri angalau ikutie moyo huku ukiomba siku moja iwe kweli!! Ila hata kama ni hadithi, ungejaribu kuipa uhalisia kidogo!! hapo kwenye M8 bongo hii umechapia sana!! Kama ni upigaji sawa!! lakini new hire??? jaribu kutunga kwa uhalisia wakati mwingine!!
Sasa akupm wewe pm yako si imefungwa Na kuchomewa welding kabisa, itabidi tuite mafundi Kwanza kuja kuvunja kama alivyofanya insider kwenye nyumba ya Irene[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Salary scale ya Wakili na CPA Huwa zinalinganaUkilipwa 12m Mkuu, mimi na Uwakili wangu ntalipwa 15m kwa hiyo organisation yao 😂😂
8MMil 8 au laki 8?
Mbona watu wanalipwa..kwenye NGO'S hio ni hela ya kawaida kabisaWakati mwing
Wakati mwingine hadithi kama hizi huwa zinamriwaza mtu!! unajitungia hadithi nzuri angalau ikutie moyo huku ukiomba siku moja iwe kweli!! Ila hata kama ni hadithi, ungejaribu kuipa uhalisia kidogo!! hapo kwenye M8 bongo hii umechapia sana!! Kama ni upigaji sawa!! lakini new hire??? jaribu kutunga kwa uhalisia wakati mwingine!!
Mkuu kumbe bado mwanafunzi [emoji28][emoji28]Maisha yanaogopesha sana kwa sisi watoto wa kiume wakubwa[emoji51]
Sijui nikimaliza chuo itakuwaje
Unakuta huyu jamaa ndiyo maisha yanampiga haswaa sasa anapoona stori ya huyu jamaa ni ngumu kuamini hilo...Wakati mwing
Wakati mwingine hadithi kama hizi huwa zinamriwaza mtu!! unajitungia hadithi nzuri angalau ikutie moyo huku ukiomba siku moja iwe kweli!! Ila hata kama ni hadithi, ungejaribu kuipa uhalisia kidogo!! hapo kwenye M8 bongo hii umechapia sana!! Kama ni upigaji sawa!! lakini new hire??? jaribu kutunga kwa uhalisia wakati mwingine!!
[emoji28][emoji28]Ualimu
Jamani [emoji28]Aamke asije akanya kitandani
Ukitoka wazazi, "Ndugu, wanawake na starehe" hii combination HAINA SHUKURANI.Baada ya kumaliza Chuo mwaka jana life ikapiga vibaya mno, kila muda nilikuwa nawaza jinsi gani nitasaidia familia yangu (Ni mtoto wa kiume mkubwa) Ilikuwa inauma sana pale ambapo unaamka asubuhi huna cha kufanya hadi kuna muda unahisi kama kifua kinabana.
Kuna muda nakaa najitafakari naona kama ni mzigo home, but hakuna aliyewahi niambia, sister kuna muda mshahara ukitoka ananitoa laki basi maisha yanaenda.
Mwanzoni mwa mwaka huu kuna mchongo nikaupata katika harakati za kushughulikia ili utiki, nikawa naingia katika mzozo sana na mzee maana mara nyingi nilikuwa narudi usiku anamind, ananisema ila kwa upande wangu inaniuma lakini nakaza ili isionekane kama imeuma (akaanza kuona kama namdharau) sasa kuna muda huna nauli kuomba siwezi so nachukua bike kutoka home hadi kwenye michakato as usual narudi usiku.
Kwenye kuhangaika hivyo mchongo ukatiki nikatumiwa mkataba nikasign nikaenda kazini, nikaona afadhali nimetoka home, mchongo unalipa fresh tu, silipi kodi wala bills kama maji, umeme na utilities zingine, na ni apartment nzuri unyama ni mwingi.
Leo account imesoma kwa newhires wote mzigo umesoma almost M 8, nikatoa M2 nimewatumia home, bi mkubwa ameshukuru mnooo, kuna ile feeling ya kuwa Now na wewe ni wa muhimu, sijawahi jisikia vizuri kama leo, ameninenea maneno ya Baraka hadi nikahisi zinajaa physically. Leo na mimi nimehisi ni wa muhimu.
Me mwenyewe nimeshangaa [emoji28]Duuh! Kumbe bado unasoma? Aysee
Bongo bhn, you just need an internet bundle to write anything kwenye mitandao.Mbona watu wanalipwa..kwenye NGO'S hio ni hela ya kawaida kabisa
Yap:- angeigawaUmeituma kwa bi mkubwa ghafla unashangaa miaka imeenda kumbe mzee ajui ata kama una tumaga pesa
[emoji28][emoji28][emoji28]Hiyo minywele kwenye avatar unavuta na mibangi?
Ila we jamaa wewe [emoji28][emoji28] punguza kumkaba kooUnavyojibu kiustaarabu utadhani ni kweli kumbe uzi wa kutunga
Huyu muongo sana. Dawa yake ni kumkazia haswa kama Nyerere alivyomkazia mzungu akafyataIla we jamaa wewe [emoji28][emoji28] punguza kumkaba koo
[emoji28][emoji28]Huyu muongo sana. Dawa yake ni kumkazia haswa kama Nyerere alivyomkazia mzungu akafyata