Brother watu wanalipwa hio hela sitaki kushikilia point ya jamaa ya kulipwa hio hela lakini hicho kiwango watu wanalipwa nina uhakika kabisa.Bongo bhn, you just need an internet bundle to write anything kwenye mitandao.
Mtu ndo ameanza kazi, anavutaje 8M hata kama ndo NGO..?
Hivi common sense zipo kweli
Kulipwa wanalipwa ila sio beginners,Brother watu wanalipwa hio hela sitaki kushikilia point ya jamaa ya kulipwa hio hela lakini hicho kiwango watu wanalipwa nina uhakika kabisa.
Okay [emoji3526]Kabla hujamaliza chuo hakikisha una demu wa uhakika wa mwaka wa kwanza, asiwe wa hostel lakini. Utakuja kunishukuru Mkuu.
Wakati unajitafuta atakuwa mtu muhimu sana kwako.
NB: Uhakika sio wa msambwanda na utelezi. Ni uhakika wa uchumi wa Ba Mkwe [emoji23][emoji23]
Mbona kama umepanic mzee wa Texas [emoji28][emoji28][emoji28]..we baki na laki nne yakoKulipwa wanalipwa ila sio beginners,
Hapo danganyanyeni tu wenyewe. Seniors ndo wanapokea hio hela. Usd 3500 bongo upewe graduates ambaye huna experience yeyote..?? Hell no, nakataa.
Tumekaa Houston Texas na hio hela unalipwa baada ya kupigika sana na kazi, sembuse bongo, kadanganyeni watoto wenu huko.
AmenAsante Mungu wewe huna choyo. Jina lako lipewe sifa, baba bariki na wengine ambao hawana kazi wapate hata kidogo.
Baba wakumbuke wote wasio na kazi wanaangaika bila msaada , kwa wakati huu ambapo hawawezi kuhudumia wazazi baba wewe simama walinde na maradhi na majanga ya aina yeyote.
Baba hata wale walio na kazi bariki hicho kidogo wanachokipata lakini pia wakumbuke kusaidia wazazi pia wengine.
Baba na nakuomba sala hii nakuomba uipokee kwa niaba ya wote tuliosoma hapa, najua kabisa sijui kuomba ipasavyo ila pokea pokea maombi haya hivyo hivyo.
Mungu baba kubwa kuliko yote, ninakuomba utulindie wazazi waone mafanikio yetu. Amina.
Exactly [emoji3526]Kwani mkuu we taasisi zote zilizopo hapa bongo unajua salary scheme na other allowance kwa new employees?
Kwanza kijana hajaweka wazi kuwa hiyo hela ni loan au allowance kwa new hire au ni malipo ya jumla baada ya project flani.
Umekaa huston, there's this guy wa MS makerspace spaca anaitwa Gary nae anatoka huston,, mnaweza kuwa marafikiKulipwa wanalipwa ila sio beginners,
Hapo danganyanyeni tu wenyewe. Seniors ndo wanapokea hio hela. Usd 3500 bongo upewe graduates ambaye huna experience yeyote..?? Hell no, nakataa.
Tumekaa Houston Texas na hio hela unalipwa baada ya kupigika sana na kazi, sembuse bongo, kadanganyeni watoto wenu huko.
Mimi nisha retire binti yangu, and by the time mimi nashika laki 4, probably wewe ulikuwa hujazaliwa au mostly likely ulikuwa bado unanyonya vidole. Anyways, enjoy your youth na hizo imaginary fantasy zako. I have grandsons pia wenye fantasy kama zako, tofauti tu ni kwamba at least wao wapo in a country where hizo USD 3500 ain't a big deal to stress them out. Uwe na amani 👍🏾Mbona kama umepanic mzee wa Texas [emoji28][emoji28][emoji28]..we baki na laki nne yako
HahahaMe nahisi nitakunja 20m kabisa 😂😂😂
[emoji28][emoji28][emoji28] wacha bwanaMimi nisha retire binti yangu, and by the time mimi nashika laki 4, probably wewe ulikuwa hujazaliwa au mostly likely ulikuwa bado unanyonya vidole. Anyways, enjoy your youth na hizo imaginary fantasy zako. I have grandsons pia wenye fantasy kama zako, tofauti tu ni kwamba at least wao wapo in a country where hizo USD 3500 ain't a big deal to stress them out. Uwe na amani [emoji1474]
Unaona unavyozidi kuharibu! hakuna organization rasmi itakayokupa mshahara bila kukukata kodi kwa mujibu wa sheria za nchi! Hata kama ni NGO,Sikatwi kodi,, inalipwa na organisation hii
Sema tu kuwa demu mwenyewe ni wewe (wala si vibaya)!! Si umemwekea na avatar ya ke aanze ku-salivate kabisa!njoo pm nikupeleke mahali kuna mademu wazuri na bia za pale tamu kishenzi
mkaponde raha na u fresh hazina garama 😂😂Ko umebaki na 6million cash? Emu ni piem kuna maelekezo muhimu nataka kukupa [emoji4][emoji4]
kila hatua dua, ukishakua mwanaume ni kupambanaMaisha yanaogopesha sana kwa sisi watoto wa kiume wakubwa😬
Sijui nikimaliza chuo itakuwaje
Si kwenye NGO tu hata baadhi ya taasisi za umma kuna watu wanalipwa pesa zaidi ya hiyo lakini si kwa mwajiriwa mpya aliyemaliza chuo mwaka jana!!Mbona watu wanalipwa..kwenye NGO'S hio ni hela ya kawaida kabisa
Hakuna mtu aliyesema kuwa hapa TZ hakuna mtu anayelipwa hiuyo hela, wapo wanaolipwa zaidi ya ile ila si kwa mwajiriwa mpya aliyemaliza chuo mwaka jana!Brother watu wanalipwa hio hela sitaki kushikilia point ya jamaa ya kulipwa hio hela lakini hicho kiwango watu wanalipwa nina uhakika kabisa.
Duuh me bado nashangaa! Kumbe tunabishana na madogo ambao bdo hata.......daah au basiMe mwenyewe nimeshangaa [emoji28]
Vitu vingine ni simple sana! Me nilianza kazi as a fresher nikavuta 21M mkopo baada ya miezi 6! Inategemea na ulipoajiriwa kijana! Tena sio miaka mingi kiivo ilikuwa 2015Bongo bhn, you just need an internet bundle to write anything kwenye mitandao.
Mtu ndo ameanza kazi, anavutaje 8M hata kama ndo NGO..?
Hivi common sense zipo kweli
Mimi nitalipwa million 20 Dr MswedenMimi nitalipwa mil 18
Me mwenyewe nimeshangaa [emoji28]
Duuh! Kumbe bado unasoma? Aysee