Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Karma is real.Mzee kahangaika sana kutafuta pesa za kuwasomesha na kuwalisha ila mtoto akipata anaekumbukwa ni Mama, DUH!!
Pesa ilibid umtumie aliekuwa na majukumu yakuwatafutia pesa (baba), mama nae akipewa anashukuru.
Hii na wewe inaweza kukurudia ukipata watoto.
Unasomea nini?Maisha yanaogopesha sana kwa sisi watoto wa kiume wakubwa[emoji51]
Sijui nikimaliza chuo itakuwaje
M-PM sasa hivi mkuu acha woga. Pesa inatafutwa. Hata hivyo hiyo M8 ni pesa nyingi sana [emoji23]Usijali boss ntakupiem[emoji16]
computer science broUnasomea nini?
Ili nione kama naweza kukuweka kwenye moja ya Makampuni yangu. Niko serious.
Please dont ask me, why you...!
Unanifaa. Muda wa kumaliza ukikaribia ni-PM. Punguza woga wa maisha mdogo wangu. Humu JF kuna kila kitu, endapo ukiitumia vizuri lakini.computer science bro
asante sana broUnanifaa. Muda wa kumaliza ukikaribia ni-PM. Punguza woga wa maisha mdogo wangu. Humu JF kuna kila kitu, endapo ukiitumia vizuri lakini.
Karibu.asante sana bro
Uduguuu naomba nikusindikize, ukiwa unaenda kuchukua maokotooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ko umebaki na 6million cash? Emu ni piem kuna maelekezo muhimu nataka kukupa [emoji4][emoji4]
Uduguuu naomba nikusindikize, ukiwa unaenda kuchukua maokotooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi wengine hatufunguliwi pm tumekuwa wafungwa sio vizuri sijapenda au umpaka tutangaze tumeshinda bingo?Leo niliifungua special kwaajiri yake [emoji4][emoji4][emoji4]
Afu mbona hujaniita kumbe story imeendelea
Mxiiiiiieeeeewwww, babu yako migambutii unahaha nae mda unautoa wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishachukua toka jana, hawa wanao comment wanajichosha tyuuu!!! Sie tupo Cape Verde na nwamba tunatumbua 6million [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi wengine hatufunguliwi pm tumekuwa wafungwa sio vizuri sijapenda au umpaka tutangaze tumeshinda bingo?
Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Mxiiiiiieeeeewwww, babu yako migambutii unahaha nae mda unautoa wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pisi na kichupa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usisahau zaka na sadaka hapo tenga kama millioni 1.. then hIyo million 5 iliyobaki nunua uwanja mkubwa sana hata wa million 3 then 2 nenda nayo taratbu kwa mambo mengine
NB; USISAHAU KUJIPONGEZA KWA KUFANYA JAMBO LINALOKUPA FURAHA SANA
Wazee huwa tunatengwa sana ila mimi nashukuru mimi ndio bado nawatumia kama zawadiSema nini watoto wa kiume wakati mwingine tunazingua sana, kwa nini usimtumie mzee hiyo pesa ukizingatia yeye ndiye kichwa cha familia
Watoto wetu watakuja kututendea hivyohivyo tukishazeeka. Hapo ndo ujue wanaume tumeumbwa mateso
Najua unapigika na maisha pole sana na ww siku yako yaja. Endeleza mapambanoWakati mwing
Wakati mwingine hadithi kama hizi huwa zinamriwaza mtu!! unajitungia hadithi nzuri angalau ikutie moyo huku ukiomba siku moja iwe kweli!! Ila hata kama ni hadithi, ungejaribu kuipa uhalisia kidogo!! hapo kwenye M8 bongo hii umechapia sana!! Kama ni upigaji sawa!! lakini new hire??? jaribu kutunga kwa uhalisia wakati mwingine!!
pumbafuUalimu
Mishangazi unayoshinda unatongozana nayo itakupa Connection... endelea kupoteza muda tu, uje u-graduate na ngoma na Ka-GPA kako ka mbili "2" ndo uone kwann aloevera ni chungu 😊👍🏾Maisha yanaogopesha sana kwa sisi watoto wa kiume wakubwa😬
Sijui nikimaliza chuo itakuwaje