Kwa mara ya kwanza nimehisi kuwa na umuhimu

Kwa mara ya kwanza nimehisi kuwa na umuhimu

Mzee kahangaika sana kutafuta pesa za kuwasomesha na kuwalisha ila mtoto akipata anaekumbukwa ni Mama, DUH!!

Pesa ilibid umtumie aliekuwa na majukumu yakuwatafutia pesa (baba), mama nae akipewa anashukuru.

Hii na wewe inaweza kukurudia ukipata watoto.
Karma is real.
 
Ko umebaki na 6million cash? Emu ni piem kuna maelekezo muhimu nataka kukupa [emoji4][emoji4]
Uduguuu naomba nikusindikize, ukiwa unaenda kuchukua maokotooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uduguuu naomba nikusindikize, ukiwa unaenda kuchukua maokotooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nishachukua toka jana, hawa wanao comment wanajichosha tyuuu!!! Sie tupo Cape Verde na nwamba tunatumbua 6million [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nishachukua toka jana, hawa wanao comment wanajichosha tyuuu!!! Sie tupo Cape Verde na nwamba tunatumbua 6million [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mxiiiiiieeeeewwww, babu yako migambutii unahaha nae mda unautoa wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mxiiiiiieeeeewwww, babu yako migambutii unahaha nae mda unautoa wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Babu nahaha naye nikiwa na margarita shots [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu yeye muda huo katulia kwenye pick up yake ya mkaa
 
Usisahau zaka na sadaka hapo tenga kama millioni 1.. then hIyo million 5 iliyobaki nunua uwanja mkubwa sana hata wa million 3 then 2 nenda nayo taratbu kwa mambo mengine

NB; USISAHAU KUJIPONGEZA KWA KUFANYA JAMBO LINALOKUPA FURAHA SANA
Pisi na kichupa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini Baba ndio alikuwa anawahangaikia aisee
Nae ana haki tena kubwa sana na hata hizo milioni akisema nipe huwezi kubisha (kiimani zaidi) usiulize lakini
Mtumie baba haraka na yeye tena kwa unyenyekevu au unakumbuka alivyokuwa anakufokea ukirudi usiku?
Sio kwa ubaya bali huwa tunawaza kuwa labda mmedhurika wala sio personal bali ndio mzazi alivyo kwani mtoto hakui kwa wazazi hata kama una 40
 
Sema nini watoto wa kiume wakati mwingine tunazingua sana, kwa nini usimtumie mzee hiyo pesa ukizingatia yeye ndiye kichwa cha familia

Watoto wetu watakuja kututendea hivyohivyo tukishazeeka. Hapo ndo ujue wanaume tumeumbwa mateso
Wazee huwa tunatengwa sana ila mimi nashukuru mimi ndio bado nawatumia kama zawadi
Sihitaji kitu toka kwao zangu zinanitosha lakini sipendi kina baba wanavyosahaulika ingawa dua ya baba ina nguvu sana
 
Wakati mwing

Wakati mwingine hadithi kama hizi huwa zinamriwaza mtu!! unajitungia hadithi nzuri angalau ikutie moyo huku ukiomba siku moja iwe kweli!! Ila hata kama ni hadithi, ungejaribu kuipa uhalisia kidogo!! hapo kwenye M8 bongo hii umechapia sana!! Kama ni upigaji sawa!! lakini new hire??? jaribu kutunga kwa uhalisia wakati mwingine!!
Najua unapigika na maisha pole sana na ww siku yako yaja. Endeleza mapambano
 
Back
Top Bottom