Kwa mara ya kwanza nimejiunga Rasmi na Chama cha Siasa nchini

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,068
Reaction score
5,558
Kuanzia leo tarehe 6-6-2021, kupitia CHADEMA Digital App, nimefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa mwanachama wa chama Cha siasa hapa nchini kwetu Tanzania.

Mwaka jana, 2021 ilikaribia kidogo niwe mwanachama wa CCM, lakini kwa muda wa miezi isiyopungua mitatu, hakukuwa na kadi mahala nilipo.

Sasa, rasmi nimejiunga na CHADEMA na hakuna kurudi nyuma.

NB: Nimelipia ada ya uanachama wa mwaka mmoja Tshs 2,500 na Tshs 2,500 ya kadi. Hivyo kwa leo nimekichangia chama changu Tshs 5,000. Baadaye nita-upgrade kadi ya uanachama walau niwe na ile ya Gold.

PEOPLE'S POWER.
Screenshot_20210606-075035~2.png
 
View attachment 1809882
Safi sana Wang'wise Chadema ni Future.
 
Karibu sana kijana
 
Mimi pia nilikuwa Kada Mbobezi wa CCM lakini matukio ya Awamu ya Tano ya kuuwa Watu na kupoteza Watu yalinifanya Uzalendo unishinde nikahamia Chadema katika hafla fupi

Tuliimba... "alenselema alejaa" ghafla risasi zikaanza kurindima Dodoma area c. nikasema hizi sio Siasa za Kitanzania.
 
Mimi pia nilikuwa Kada Mbobezi wa CCM lakini matukio ya Awamu ya Tano ya kuuwa Watu na kupoteza Watu yalinifanya Uzalendo unishinde nikahamia Chadema katika hafla fupi

Tuliimba... "alenselema alejaa" ghafla risasi zikaanza kurindima Dodoma area c.
Wanachojua vizuri ni utekaji, uuaji na vitu vya ovyo ovyo, ila kuongoza ni ma-empty set.
 
Haha a!! ndio mautamu yenyewe hayo ya mashikolo mageni

View attachment 1810258
Na kwa mpango huo, chama kinakwenda kusepa na Kijiji. Mwaka jana manusura nijiunge na chama chakavu, kadi ikawa inshu, miezi Kama minne hakukuwa na kadi matawini. Ajabu leo kupitia CHADEMA Digital App, hata dakika kumi sikumaliza nikawa nimepata na kadi ya uanachama.

Abarikiwe aliyebuni utaratibu huu unaorahisisha zoezi la kusajiri wanachama wapya na wale wa zamani.
 
Kubwa zaidi kwa kuwa chama kilicho madarakani ni chama nyonyaji.

Mfano, niliachishwa kazi tokea 2019 mwezi wa pili, lakini mafao yangu yaliyokuwa yakipelekwa NSSF, mpaka leo tarehe 6/6/2021 sijawahi kupewa.

Ngoja niishie hapa kwanza.
Usijali, mafao yako utayapata CHADEMA
 
Back
Top Bottom