- Thread starter
- #21
Asante kwa kuchangia.Usijali, mafao yako utayapata CHADEMA
Asante kwa kuchangia.Usijali, mafao yako utayapata CHADEMA
Usitishiwe nyau!Asante kwa kuchangia.
Jamaa nimempuuzaUsitishiwe nyau!
Alaaa, kumbe CCM mlishabuni hadi kipimo Cha kujua kama kichwani hamnazo? Sasa mbona hamkukitumia vizuri hadi mkatuletea yule muomba kazi ya umalaika mkuu?Kichwani hamnazo wewe, hicho siyo chama ni genge la wahuni na maslahi yao wanayoyajua wenyewe
Stupid.
Wewe Mbwiga unahangaika sana tafuta bwana ili utulie NyumbaniStupid.
Dah, mpaka Sasa tokea umeanza kujifunza kutukana kwa kiingereza, umeambulia neno stupid?Stupid.
MholaaMhola hene ngalu
Kumbe mkuu ulitaka CCM kwanza......!Kuanzia leo tarehe 6-6-2021, kupitia CHADEMA Digital App, nimefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa mwanachama wa chama Cha siasa hapa nchini kwetu Tanzania.
Mwaka jana, 2021 ilikaribia kidogo niwe mwanachama wa CCM, lakini kwa muda wa miezi isiyopungua mitatu, hakukuwa na kadi mahala nilipo.
Sasa, rasmi nimejiunga na CHADEMA na hakuna kurudi nyuma.
NB: Nimelipia ada ya uanachama wa mwaka mmoja Tshs 2,500 na Tshs 2,500 ya kadi. Hivyo kwa leo nimekichangia chama changu Tshs 5,000. Baadaye nita-upgrade kadi ya uanachama walau niwe na ile ya Gold.
PEOPLE'S POWER.
View attachment 1809882
CCM kilikuwa Chama kizuri kabla ya Magufuli kuja kukiharibu😉Kumbe mkuu ulitaka CCM kwanza......!
Wewe Jamaa wa nyumbani kabisa
Yaani Ntuzuland kwenyewe😁Wewe Jamaa wa nyumbani kabisa
Ni baada ya kuchoshwa na ccm chama cha matukioKipi kilichokuvutia kujiunga na Chadema??