Kwa mara ya kwanza nimejiunga Rasmi na Chama cha Siasa nchini

Kwa mara ya kwanza nimejiunga Rasmi na Chama cha Siasa nchini

CCM kilikuwa Chama kizuri kabla ya Magufuli kuja kukiharibu😉
Mkuu, umesema mwaka jana 2021 na hayati JPM kaanzia 2015 wapi na wapi? Unalako jambo. Isije baadae ukajiunga na CCM kwa mbwembwe maana wengi huanzia vyama vingine na wakiisha pata kiki wanapindua ubao 🤣🤣🤣.
 
Mimi nimeanzia CCM kuja Chadema wakati Chadema kilikuwa na wakati Mgumu sana huku baadhi ya Makamanda uchwara wakinunulika kwa fedha na kuhongwa teuzi.

Makada wenzangu wa Karibu walipigwa na butwaa

Sikuhama kishabiki wala kwa mihemko na siwezi kurudi CCM labda Jakaya Kikwete arudi Madarakani😁🤨
 
We bwege acha kujipaisha.
 
Huyu anatafuta gia tu ya kumpaisha halafu anasepa na kujiunga CCM.
Huo unabii wako uchwara ulisomea chuo kipi? Maana shule za manabii zilikuwepo zama za nabii Samweli hadi uhamisho wa Babeli. Manabii uchwara wa siku hizi wengi ni wale self made prophets, je u mmoja wao?
 
Kuanzia leo tarehe 6-6-2021, kupitia CHADEMA Digital App, nimefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa mwanachama wa chama Cha siasa hapa nchini kwetu Tanzania.

Mwaka jana, 2021 ilikaribia kidogo niwe mwanachama wa CCM, lakini kwa muda wa miezi isiyopungua mitatu, hakukuwa na kadi mahala nilipo.

Sasa, rasmi nimejiunga na CHADEMA na hakuna kurudi nyuma.

NB: Nimelipia ada ya uanachama wa mwaka mmoja Tshs 2,500 na Tshs 2,500 ya kadi. Hivyo kwa leo nimekichangia chama changu Tshs 5,000. Baadaye nita-upgrade kadi ya uanachama walau niwe na ile ya Gold.

PEOPLE'S POWER.
View attachment 1809882
Maelekezo tafadhali ya hindi ya kujiunga na kuchagua package unayoimudu kama ada ya uanachama.
 
Huyu anatafuta gia tu ya kumpaisha halafu anasepa na kujiunga CCM.
Mnahakika anajipaisha,kama ndivyo kwami nyie hamhitaji kujipaisha,ama ndio mliokubali kuwa wanyonge watiifu.
 
Huo unabii wako uchwara ulisomea chuo kipi? Maana shule za manabii zilikuwepo zama za nabii Samweli hadi uhamisho wa Babeli. Manabii uchwara wa siku hizi wengi ni wale self made prophets, je u mmoja wao?
Mkuu, uzoefu wa siasa yetu tu ndo unanipa imani hiyo. 🤣🤣🤣.
 
Kubwa zaidi kwa kuwa chama kilicho madarakani ni chama nyonyaji.

Mfano, niliachishwa kazi tokea 2019 mwezi wa pili, lakini mafao yangu yaliyokuwa yakipelekwa NSSF, mpaka leo tarehe 6/6/2021 sijawahi kupewa.

Ngoja niishie hapa kwanza.
Pole sana mku lakini nasikia kuna watu wakishamaliza kujaza form vizuri, wanapata mafao yao. Labda nenda tena Nssf uombe hizo form
 
Download app ya CHADEMA Digital Kisha fuata Hatua zifuatazo.
1. Bofya alama ya tatu chini mkono wa kulia wa picha ifuatayo.
Screenshot_20210607-182004~2.png

Kisha jisajili na ufuate Hatua zitakazokuwa zinafuata kila baada ya kumaliza Hatua moja.
 
Pole sana mku lakini nasikia kuna watu wakishamaliza kujaza form vizuri, wanapata mafao yao. Labda nenda tena Nssf uombe hizo form
Hahahaha, hoja hii ni kutoka kwa mtu au binadamu?
 
Mkuu, uzoefu wa siasa yetu tu ndo unanipa imani hiyo. 🤣🤣🤣.
Nadhani ni kwa wale wanaokwenda vyama vya siasa kusaka ajira.

Sijajiunga na chama cha siasa ili kugombea hata uongozi wa chama ngazi yoyote wala uongozi wa nchi.
 
Mimi sitakata kadi ya Chadema maisha yangu yote kwa sababu za Kiusalama,lakini damu yangu na familia yangu Ni Chadema,sitajiunga na CCM kabisa,
Kazi ninayoifanyia Chadema hata wanachama 10,000 wenye kadi wa Chadema hawawezi kulifanya,na Chadema hawajui kama nwafanyia kazi usiku na mchana.
CCM huwa inashinda kwa mitutu sio kura.
Kila lenye kheri [emoji123]
 
Back
Top Bottom