Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Bonge la jibuKila mtu na utashi wake,unauliza we nani?
Bonge la jibuKila mtu na utashi wake,unauliza we nani?
Kweli hiki ni chama cha majahiliKubwa zaidi kwa kuwa chama kilicho madarakani ni chama nyonyaji.
Mfano, niliachishwa kazi tokea 2019 mwezi wa pili, lakini mafao yangu yaliyokuwa yakipelekwa NSSF, mpaka leo tarehe 6/6/2021 sijawahi kupewa.
Ngoja niishie hapa kwanza.
Chadema ni nguvu za MunguYaani nilishangaa wakati na-register kuona mpaka Kijiji nilichozaliwa kwenye selection za mahali napotokea. Chama hakibabaishi hiki.
Ukanda huo tuliheshimika Sana nchi hii,tumechafuliwa na mtu mmoja ambae kihalisia sio mtu wa ukanda huo.Yaani Ntuzuland kwenyewe😁
Hongera sana kwa kujikomboa kiakiliMimi pia nilikuwa Kada Mbobezi wa CCM lakini matukio ya Awamu ya Tano ya kuuwa Watu na kupoteza Watu yalinifanya Uzalendo unishinde nikahamia Chadema katika hafla fupi
Tuliimba... "alenselema alejaa" ghafla risasi zikaanza kurindima Dodoma area c. nikasema hizi sio Siasa za Kitanzania.
Ndugu yetu karibu sana kwenye kivuli na mahali salama tuipambanie cdm yetu ili hatimaye itupatie uhuru wa kweli.Na kwa mpango huo, chama kinakwenda kusepa na Kijiji. Mwaka jana manusura nijiunge na chama chakavu, kadi ikawa inshu, miezi Kama minne hakukuwa na kadi matawini. Ajabu leo kupitia CHADEMA Digital App, hata dakika kumi sikumaliza nikawa nimepata na kadi ya uanachama.
Abarikiwe aliyebuni utaratibu huu unaorahisisha zoezi la kusajiri wanachama wapya na wale wa zamani.
Kwa kujiunga na CHADEMA ndiyo itakuwa suluhisho la wewe kulipwa mafao yako na NSSF?Kubwa zaidi kwa kuwa chama kilicho madarakani ni chama nyonyaji.
Mfano, niliachishwa kazi tokea 2019 mwezi wa pili, lakini mafao yangu yaliyokuwa yakipelekwa NSSF, mpaka leo tarehe 6/6/2021 sijawahi kupewa.
Ngoja niishie hapa kwanza.
Kama umekasirishwa sana kunya BogaKichwani hamnazo wewe, hicho siyo chama ni genge la wahuni na maslahi yao wanayoyajua wenyewe
Lumumba FC ambaye dishi limeyumbaStupid.
Yule Mbwiga alilinajisi Kabila letu mpaka tukaanza kuitwa Majina ya ajabu ajabuNtaanza Kampeni ya kusafisha jami yetu
Vipi kwani unateseka ukiwa wapi?Kwa kujiunga na CHADEMA ndiyo itakuwa suluhisho la wewe kulipwa mafao yako na NSSF?
Kama akili yako imeona nimeandika ugoro Kama ulioandika sawa.Kwa kujiunga na CHADEMA ndiyo itakuwa suluhisho la wewe kulipwa mafao yako na NSSF?
Unabip?Wewe Mbwiga unahangaika sana tafuta bwana ili utulie Nyumbani
Kijana usituharibie Uzi nenda kamlilie Bosi wako Sabaya anaogeshwa hukoUnabip?
Hayo ni maoni yako, hupaswi kupingwa, japo uko wrong.EeeeNHeeee!
Siwezi kamwe kukupongeza mtu kama wewe kuwa mwanachama wa chama chochote. Bila shaka mwakani, wakati kama huu utatutangazia tena ulivyofanikiwa kuwa mwana CCM!
Sikulaumu, kwa maana ndivyo ilivyo hapa kwetu. Watu hawana jambo wanaloliamini na kulisimamia. Wanakwenda tu na upepo kadri unavyovuma.