Kila mtu na utashi wake,unauliza we nani?Kipi kilichokuvutia kujiunga na Chadema??
Kubwa zaidi kwa kuwa chama kilicho madarakani ni chama nyonyaji.Kipi kilichokuvutia kujiunga na Chadema??
Safi sana Wang'wise Chadema ni Future.Kuanzia leo tarehe 6-6-2021, kupitia CHADEMA Digital App, nimefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa mwanachama wa chama Cha siasa hapa nchini kwetu Tanzania.
Mwaka jana, 2021 ilikaribia kidogo niwe mwanachama wa CCM, lakini kwa muda wa miezi isiyopungua mitatu, hakukuwa na kadi mahala nilipo.
Sasa, rasmi nimejiunga na CHADEMA na hakuna kurudi nyuma.
NB: Nimelipia ada ya uanachama wa mwaka mmoja Tshs 2,500 na Tshs 2,500 ya kadi. Hivyo kwa leo nimekichangia chama changu Tshs 5,000. Baadaye nita-upgrade kadi ya uanachama walau niwe na ile ya Gold.
PEOPLE'S POWER.
View attachment 1809882
Yaani nilishangaa wakati na-register kuona mpaka Kijiji nilichozaliwa kwenye selection za mahali napotokea. Chama hakibabaishi hiki.Safi sana Wang'wise Chadema ni Future.
Karibu sana kijanaKuanzia leo tarehe 6-6-2021, kupitia CHADEMA Digital App, nimefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa mwanachama wa chama Cha siasa hapa nchini kwetu Tanzania.
Mwaka jana, 2021 ilikaribia kidogo niwe mwanachama wa CCM, lakini kwa muda wa miezi isiyopungua mitatu, hakukuwa na kadi mahala nilipo.
Sasa, rasmi nimejiunga na CHADEMA na hakuna kurudi nyuma.
NB: Nimelipia ada ya uanachama wa mwaka mmoja Tshs 2,500 na Tshs 2,500 ya kadi. Hivyo kwa leo nimekichangia chama changu Tshs 5,000. Baadaye nita-upgrade kadi ya uanachama walau niwe na ile ya Gold.
PEOPLE'S POWER.
View attachment 1809882
Asante sana. Sasa ni kuhakikisha chama nyonyaji kinang'oka madarakaniKaribu sana kijana
Wanachojua vizuri ni utekaji, uuaji na vitu vya ovyo ovyo, ila kuongoza ni ma-empty set.Mimi pia nilikuwa Kada Mbobezi wa CCM lakini matukio ya Awamu ya Tano ya kuuwa Watu na kupoteza Watu yalinifanya Uzalendo unishinde nikahamia Chadema katika hafla fupi
Tuliimba... "alenselema alejaa" ghafla risasi zikaanza kurindima Dodoma area c.
Haha a!! ndio mautamu yenyewe hayo ya mashikolo mageniYaani nilishangaa wakati na-register kuona mpaka Kijiji nilichozaliwa kwenye selection za mahali napotokea. Chama hakibabaishi hiki.
Na kwa mpango huo, chama kinakwenda kusepa na Kijiji. Mwaka jana manusura nijiunge na chama chakavu, kadi ikawa inshu, miezi Kama minne hakukuwa na kadi matawini. Ajabu leo kupitia CHADEMA Digital App, hata dakika kumi sikumaliza nikawa nimepata na kadi ya uanachama.
Nimejiunga leo rasimi,Kipi kilichokuvutia kujiunga na Chadema??
Usijali, mafao yako utayapata CHADEMAKubwa zaidi kwa kuwa chama kilicho madarakani ni chama nyonyaji.
Mfano, niliachishwa kazi tokea 2019 mwezi wa pili, lakini mafao yangu yaliyokuwa yakipelekwa NSSF, mpaka leo tarehe 6/6/2021 sijawahi kupewa.
Ngoja niishie hapa kwanza.