Kwa mara ya kwanza nimejiunga Rasmi na Chama cha Siasa nchini

Kichwani hamnazo wewe, hicho siyo chama ni genge la wahuni na maslahi yao wanayoyajua wenyewe
 
Kichwani hamnazo wewe, hicho siyo chama ni genge la wahuni na maslahi yao wanayoyajua wenyewe
Alaaa, kumbe CCM mlishabuni hadi kipimo Cha kujua kama kichwani hamnazo? Sasa mbona hamkukitumia vizuri hadi mkatuletea yule muomba kazi ya umalaika mkuu?
 
Kumbe mkuu ulitaka CCM kwanza......!
 
Mimi sitakata kadi ya Chadema maisha yangu yote kwa sababu za Kiusalama,lakini damu yangu na familia yangu Ni Chadema,sitajiunga na CCM kabisa,
Kazi ninayoifanyia Chadema hata wanachama 10,000 wenye kadi wa Chadema hawawezi kulifanya,na Chadema hawajui kama nwafanyia kazi usiku na mchana.
CCM huwa inashinda kwa mitutu sio kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…