Wewe si sehemu ya umma niliyoutangazia. Wewe ni sehemu ya Chama Cha Majahiri, hivyo jikate.Kakuuliza nani?
Unatangaza ujinga wako kwa uma?
Karibu Sana kundini.Nitajiunga na jeshi hili la ukombozi muda mfupi ujao.
Mkuu, umesema mwaka jana 2021 na hayati JPM kaanzia 2015 wapi na wapi? Unalako jambo. Isije baadae ukajiunga na CCM kwa mbwembwe maana wengi huanzia vyama vingine na wakiisha pata kiki wanapindua ubao 🤣🤣🤣.CCM kilikuwa Chama kizuri kabla ya Magufuli kuja kukiharibu😉
Mimi nimeanzia CCM kuja Chadema wakati Chadema kilikuwa na wakati Mgumu sana huku baadhi ya Makamanda uchwara wakinunulika kwa fedha na kuhongwa teuzi.Mkuu, umesema mwaka jana 2021 na hayati JPM kaanzia 2015 wapi na wapi? Unalako jambo. Isije baadae ukajiunga na CCM kwa mbwembwe maana wengi huanzia vyama vingine na wakiisha pata kiki wanapindua ubao 🤣🤣🤣.
Mkuu, toa ushuhuda wako ili jamaa naye avutiwe aingie chama la nguvu!Kila mtu na utashi wake,unauliza we nani?
We bwege acha kujipaisha.Mimi nimeanzia CCM kuja Chadema wakati Chadema kilikuwa na wakati Mgumu sana huku baadhi ya Makamanda uchwara wakinunulika kwa fedha na kuhongwa teuzi.
Makada wenzangu wa Karibu walipigwa na butwaa
Sikuhama kishabiki wala kwa mihemko na siwezi kurudi CCM labda Jakaya Kikwete arudi Madarakani😁🤨
Ngoja Mbowe astaafu aje kukutia mimbaWe bwege acha kujipaisha.
Huyu anatafuta gia tu ya kumpaisha halafu anasepa na kujiunga CCM.We bwege acha kujipaisha.
Huo unabii wako uchwara ulisomea chuo kipi? Maana shule za manabii zilikuwepo zama za nabii Samweli hadi uhamisho wa Babeli. Manabii uchwara wa siku hizi wengi ni wale self made prophets, je u mmoja wao?Huyu anatafuta gia tu ya kumpaisha halafu anasepa na kujiunga CCM.
Maelekezo tafadhali ya hindi ya kujiunga na kuchagua package unayoimudu kama ada ya uanachama.Kuanzia leo tarehe 6-6-2021, kupitia CHADEMA Digital App, nimefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa mwanachama wa chama Cha siasa hapa nchini kwetu Tanzania.
Mwaka jana, 2021 ilikaribia kidogo niwe mwanachama wa CCM, lakini kwa muda wa miezi isiyopungua mitatu, hakukuwa na kadi mahala nilipo.
Sasa, rasmi nimejiunga na CHADEMA na hakuna kurudi nyuma.
NB: Nimelipia ada ya uanachama wa mwaka mmoja Tshs 2,500 na Tshs 2,500 ya kadi. Hivyo kwa leo nimekichangia chama changu Tshs 5,000. Baadaye nita-upgrade kadi ya uanachama walau niwe na ile ya Gold.
PEOPLE'S POWER.
View attachment 1809882
Mnahakika anajipaisha,kama ndivyo kwami nyie hamhitaji kujipaisha,ama ndio mliokubali kuwa wanyonge watiifu.Huyu anatafuta gia tu ya kumpaisha halafu anasepa na kujiunga CCM.
Mkuu, uzoefu wa siasa yetu tu ndo unanipa imani hiyo. 🤣🤣🤣.Huo unabii wako uchwara ulisomea chuo kipi? Maana shule za manabii zilikuwepo zama za nabii Samweli hadi uhamisho wa Babeli. Manabii uchwara wa siku hizi wengi ni wale self made prophets, je u mmoja wao?
Pole sana mku lakini nasikia kuna watu wakishamaliza kujaza form vizuri, wanapata mafao yao. Labda nenda tena Nssf uombe hizo formKubwa zaidi kwa kuwa chama kilicho madarakani ni chama nyonyaji.
Mfano, niliachishwa kazi tokea 2019 mwezi wa pili, lakini mafao yangu yaliyokuwa yakipelekwa NSSF, mpaka leo tarehe 6/6/2021 sijawahi kupewa.
Ngoja niishie hapa kwanza.
Hahahaha, hoja hii ni kutoka kwa mtu au binadamu?Pole sana mku lakini nasikia kuna watu wakishamaliza kujaza form vizuri, wanapata mafao yao. Labda nenda tena Nssf uombe hizo form
Nadhani ni kwa wale wanaokwenda vyama vya siasa kusaka ajira.Mkuu, uzoefu wa siasa yetu tu ndo unanipa imani hiyo. 🤣🤣🤣.
Nimejiunga leo rasimi,
Bios shaka yoyote, hii hoja imetoka kwa mtu aliyekatwa kichwa.Kabila gani mkuu, ebu jitambulishe basi!
StupidStupid.
Kila lenye kheri [emoji123]Mimi sitakata kadi ya Chadema maisha yangu yote kwa sababu za Kiusalama,lakini damu yangu na familia yangu Ni Chadema,sitajiunga na CCM kabisa,
Kazi ninayoifanyia Chadema hata wanachama 10,000 wenye kadi wa Chadema hawawezi kulifanya,na Chadema hawajui kama nwafanyia kazi usiku na mchana.
CCM huwa inashinda kwa mitutu sio kura.