Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Dada yangu umeamua kutengeneza cheni ya kujiambukiza magonjwa wewe mwenyewe kwa hiyari yako
Je huyo wa kwanza hakua muelewa ulipomueleza kero yako!
Yaan kipi kimefanya uchukue maamuzi hayo?!
Ni muelewa na mtu mzuri tu kuna matatizo madogo madogo kati yetu lkn mara nyingi tuna solve na kuendelea. Mimi mwnywe sijui kwann nilikubali kua na mahusiano na huyu kaka wapili lakini nampenda pia na yeye ni muelewa na mpole pia.
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Umalaya upo Damuni. Huwa ni ngumu kuacha mpaka .....
 
Kumbuka ule msemo “usitumikie mabwana wawili”ukija kuanguaka lazima uangukie pua so better ukafanya maamuzi magumu mapema hii
 
Inawezekana lakin sidhani. Huyu wa kwanza sio mtu wa kujichanganya na watu muda wake wa ziada kama hayuko na mimi basi yuko home au kwa wazazi wake. Angekua na mwingine ningejua.
Kama ambavyo wao hawajui, nawe huenda hujui.

Mambo ni i[emoji173], complex kuliko complex number.
 
Ni muelewa na mtu mzuri tu kuna matatizo madogo madogo kati yetu lkn mara nyingi tuna solve na kuendelea. Mimi mwnywe sijui kwann nilikubali kua na mahusiano na huyu kaka wapili lakini nampenda pia na yeye ni muelewa na mpole pia.

Unachojaribu kukifanya ni kama hiyo avatar yako hapo juu
HAKIWEZEKANI
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
LABDA USEME HAPA NI NINI KINACHOKUFANYA UWE NAO WOTE WAWILI, TUANZIE HAPO KWANZA,
 
Back
Top Bottom