Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Nimejitahidi mno kumiliki mwanaume zaidi ya mmoja ila nimeshindwa.hivi ni chuo gani wanatoa hii course aise

Nilikuwa nasemaga siwezi kuwa na mahusiano na wanaume wawili kwa wakati mmoja pia. Lakin sasa hivi nko nao mpk mwenyewe najishangaa 🤦
 
Nilikuwa nasemaga siwezi kuwa na mahusiano na wanaume wawili kwa wakati mmoja pia. Lakin sasa hivi nko nao mpk mwenyewe najishangaa 🤦
Umefanyaje fanyaje mpka umeweza?
Niwe mkweli tu nilishashindwaga kabisa.labda itokee bila kujitambua nijikute kwenye hayo mahusiano mawili.lakini eti nipange sasa nakuwa na mwanaume zaidi ya mmoja,hapana aiseh
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Chagua anayekupelekea moto au anayekupa hela
ni wewe tu maamuzi yako.
 
Duh wewe utafanya tuendelee kuwekewa gunia zaidi ya 2 za mkaa. Kwanini usichague the most lovely one? Inamaana unawapenda sawa sawa? Acha ubinafsi bana achia mmoja wengine tumpate huko mtaani😉

Nawapenda wote ila nampenda sana wa pili lakin i feel sorry kwa wa kwanza. Naanza vp kuachana nae ni mtu mzuri pia amenitambulisha kwa wazazi wake na mimi nimemtambulisha kwa mdogo wangu na rafiki zangu. Na wazazi wake wananipenda sana lakini mapenzi kwake yamepungua sijui kwann
 
Back
Top Bottom