Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Nawapenda wote ila nampenda sana wa pili lakin i feel sorry kwa wa kwanza. Naanza vp kuachana nae ni mtu mzuri pia amenitambulisha kwa wazazi wake na mimi nimemtambulisha kwa mdogo wangu na rafiki zangu. Na mama yake ananipenda sana lakini mapenzi kwake yamepungua sijui kwann
Jibu simply tu ...Ni kwasababu huwa hamjui mnacho kitaka
 
Sidhani kama naeza kuwapoteza wote kama kupoteza labda mmoja
Mkuu jitadhimini tena na tena maana unajiamini vipi kujificha kwenye kichaka cha maarage yaliyo kauka;unashangaa wote wameshakufahamu na wana-machaguo yao tofauti na wewe.
 
Upitwi[emoji23][emoji23][emoji23] me nana mpango wa kuongeza wa 7 alafu awe mume wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2]duuh wa saba? Angekuwa wa pili ningetuma maombi
 
Kama huna tatizo lolote achana na biashara ya ngono baki na baba wa familia yako,vile unavyo vipata nje potezea tu
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?

Hongera Sana Mkuu.
 
Mara hutaki kumuacha yeyooote....axa unataka njia ya kuelendelea na mmoja ya nini!!!, Mrembo kaa kwenye msimamo wako.....Toa Dodo tu ..... #mchuma janga Hula na wa kwao#.....*

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Mwaya wala ata niliye naye tu ananishinda anakula mzigo mara moja kwa mwezi inakuwaje 7[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mwaya wala ata niliye naye tu ananishinda anakula mzigo mara moja kwa mwezi inakuwaje 7[emoji849][emoji849][emoji849]
Weee mara moja kwa mwezi ana matatizo gani au yupo bize sana

Tutamsaidia ujue
 
Back
Top Bottom