Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Safi sana, ngoma droo
Hongera bibie kwa kumiliki mikito miwili
Usimuache hata mmoja mpk anakae shindwa aachie ngazi
Hakikisha hawajuani
 
Ndo tatizo mwanamke akianza kucheat, hapo mtoa mda ashazama kwa jamaa wa pili na ni lazma tu iwe ivo ndo penzi jipya linavokua motomoto ivo. Jamaa wa kwanza kampenda binti lakini binti analeta tamaa zake anazama kwa njemba nyingine ati kapoteza mapenzi kwa jamaa wa kwanza. Haya yetu macho tu si ajabu jamaa wa pili ni janja tu ndo kwaaanza miezi 3 sijui ashamuamini na kuwaza ata kumkacha jamaa wa kwanza.

Chukua tahadhari Ukimwi upo.
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
waombe hela, atakaye chelewa muache
 
Vipi wote washakula ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaani wew umejiona mjanja Sana kua hawawezi kujuana.

Ninachokiona hapa wote wamekuja kwako kwa sababu yawezekana wew Ni rahisi kutoa papuchi means wakija kwako wakipata k wanaondoka ndo maana unapata nafasi ya kuvinjari na mwingine bila bugdha.
 
Kwakweli huko ni kujitakia matatizo yaani magonjwa na hata kukuua au kukufanyia lololote baya endapo hao wanaume watajuana
Hata maandiko ya neno la Mungu yanakataza
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Dah i wish wanawake wote wangekuwa kama wewe...hamna unafiki unasema ukweli tuu wa mambo....
 
Haha haha pole Dada yangu hii issue yako ni lazima itakuja kuwa wazi.jihandae kwa hilo.uwezi kufanya huu upuuzi muda wote.ushauri kuwa honest achana na mmoja uwe na amani.ni ushauri tu!
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Chagua wa 2,maana kama ungempenda wa 1,usingemchagua kupenda wa 2.

Kwahyo 2 yuko bora kwako.

SUBIR NKUVURUGE[emoji12][emoji12]

NB: USIDHARAU NAZI,EMBE TUNDA YA MSIMU,

CHA KALE NI DHAHABU,

AKILI BIM-KICHWA
 
Inawezekana lakin sidhani. Huyu wa kwanza sio mtu wa kujichanganya na watu muda wake wa ziada kama hayuko na mimi basi yuko home au kwa wazazi wake. Angekua na mwingine ningejua.
Kwakuwa unatafuta experience kuchek yaliomo yamo!? Basi jitahid USIJIFANYE UNAWIVU WALA KUSHIKA CM YA MWENZIO...akigundua unamcheat alaf unaleta unafki wa kujifanya unawivu....hao wakimnya wawili....Mmojawapo ATAKUSABABISHIA KILEMA CHA MAISHA.

maisha ni machaguo
 
Back
Top Bottom