Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Wanawake wa jf wote hamchepuki? Bora ata mleta mada Kawa mkweli.

Humu adi makahaba wapo lakini mnajikuta kumshangaa mleta mada

Acheni unafiki

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
mbona umejivesha majukumu ya wanaume mwanaume pekee ndiye anatuhusiwa kucheat hebu acha umalaya🤣😃😃
 
Jua huwez kumilik wanaume wa 2# kwa wakat mmoja kwa mwanamke either utawez kumilik wanaume zAid ya mmoja Kama hao wanaume hawapo seriously na few

Zaid wapo na mahusiano yao seriously huko nje tuuu ni swala la Muda

Kama wew NI mchepuko wao sawa haitokuw na shida.
 
Iliyopita,tamu sana
D721B539-AC84-4C27-97D2-3D9A059EE869.jpeg

Haya hiyo hapo itunze
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?

We kabila gani kwani?
 
Mimi ni mkazi wa kijiji za kitombeni kata ya kupanua,huku mwanamke mwenye wanaume wawili tunamuita malaya mbobevu sijajua huko kwenu wanamuitaje mwanamke wa namna hii
 
Ilimradi unaweza wahudumia wote kila wanapokuhitaji basi komaa nao tu.
 
Mwaya wala ata niliye naye tu ananishinda anakula mzigo mara moja kwa mwezi inakuwaje 7[emoji849][emoji849][emoji849]
Mara 1 kwa mwezi !!!! Mko na Long distance relationship au !?? Hata Mimi jisiyependa ngono siwezi kukaa kipindi chote hicho Bila kusex Kama Nina Mpenzi na mpenzi Huyo Yupo karibu
 
Mara 1 kwa mwezi !!!! Mko na Long distance relationship au !?? Hata Mimi jisiyependa ngono siwezi kukaa kipindi chote hicho Bila kusex Kama Nina Mpenzi na mpenzi Huyo Yupo karibu
Nakaa mpka miezi 3 sijasex kbsaa...kuna muda nashikwa sana mpk natamani kumuita mpita njia lkn usalit sijauzoea
 
Nakaa mpka miezi 3 sijasex kbsaa...kuna muda nashikwa sana mpk natamani kumuita mpita njia lkn usalit sijauzoea
Aisee [emoji39][emoji39][emoji7][emoji7] nitakutafuta namba yako ninayo

By the way hata Mimi kama Niko single kukaa hiyo miezi 3 naweza na nimeshakaa Sana tu pia Kama Niko kwenye long distance relationship pia naweza
 
Wawili tu unatamba hivi, kumbe wanawake wanaojitunza bado mpo!!
 
Back
Top Bottom