Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Nimejitahidi mno kumiliki mwanaume zaidi ya mmoja ila nimeshindwa.hivi ni chuo gani wanatoa hii course aise
Mrembo lips lako linanipaga mchecheto,ila sasa umetuweka GUU LA BIA. Utatuuuua Lool....
By the way hongera kwa avatar nzuri
 
Duh wewe utafanya tuendelee kuwekewa gunia zaidi ya 2 za mkaa. Kwanini usichague the most lovely one? Inamaana unawapenda sawa sawa? Acha ubinafsi bana achia mmoja wengine tumpate huko mtaani[emoji6]
Kwamba atawachongea na kuwabania..hahahaha JF never boring
 
Angalia mahitaji yako kama umewagawanya kwenye majumu tofauti angalia hitaji kubwa ni lipi na yupi ana mudu jukumu lake vizuri
Kimaslah zaid au co? Ila kasema anawapenda wote maana yake ana moyo mbili ndan ya mwili mmoja!
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Endelea kuwa nao wote, sambaza upendo, Hata gari linaweza kuwa na matairi 4,6,10 lakini na tairi la akiba linakuwepo.
Ikiwezekana ongeza na mwingine wa akiba!
[emoji2986][emoji2986][emoji2986]
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Hivi ukimwi upo sikuhizi?..
 
Hivi kumbe mnaview avatar kimya kimya eee...safi.

Kufa hamfi ila chamotro mtakiona[emoji3][emoji3][emoji3]

Asante mkuu ubarikiwe.

So hii na ile iliyoipita ipi inakukosha sasa
Huwez amin,siwez soma comment,nkasepa bila kurudia kuchek avatar yako.

NB: nilitamanig umitumie DM zote tatu maana nmedownload ninazo ila naziona quality imenpungua ya pic.

Avatar zako ziko hivi....

1.Good, 2.BETTER 3.BEST....
 
Ayaaaa...wacha bhanaaa...umenisapraizi ujue 😘😘😘😘😘😘😘..ivi ni tatu na ipi tena jamani si mbili tu ndizo nimewahi kuweka

Asante sana mkuu kwa compliment🥰🥰🥰
Which one is the best mkuu..nikutumie sasa hivi.ukichelewa kujibu offer inakuwa expired haraka sana
 
Ulafi sio chakula tuu hata hili jambo lako ni ulafi .. Maybe you feel good right now like you’re the best in the world but you won’t feel the same when one finds out ...
Kuna broken hearts na broken trust and lots of shame iyo cold war unaotengeneza zima tu mwenyewe kimya kimya let one go it won’t be the end of the world .. you gonna loose 1 year and 3 months for other 3 months which ain’t even half !!
Kuliko upandikize bora uchague moja na ukae nalo au you loose em both .. I assure you THAT NO MATTER WHAT YOU’RE FEELING YOU WON’T GET TO KEEP EM BOTH ...
You better change before your countdown reaches zero ... the world revolves no stone is left unturned no secret is left unrevealed ...
Farewell !!!!!!!!
 
Ayaaaa...wacha bhanaaa...umenisapraizi ujue [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]..ivi ni tatu na ipi tena jamani si mbili tu ndizo nimewahi kuweka

Asante sana mkuu kwa compliment[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Which one is the best mkuu..nikutumie sasa hivi.ukichelewa kujibu offer inakuwa expired haraka sana
Iliyopita,tamu sana
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Unaweza kuta wewe ni side chick kwa wote
 
Afu hiyo mimba inayokuja utasema ni ya yupi?

Huyo utayebambikia akitilia shaka akapima DNA akakuta siyo, ndo utajua hujui🙄
 
Back
Top Bottom