Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?

Waache wote
 
Endelea kuwapanga tu hadi siku wakufanyie mtungo ndiyo utatia akili kichwani.

Angalia mahitaji yako kama umewagawanya kwenye majumu tofauti angalia hitaji kubwa ni lipi na yupi ana mudu jukumu lake vizuri
 
Yaan we una wawili na uwaza na tulio na6[emoji849] na hawajuwani kbsaa

[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji126]
 
Nahisi kuna watu humu walikuwa wana mpango wa kununua pete za 1M+ nahisi umewarudisha nyuma!
Ila hii dunia utopolo!
 
Back
Top Bottom