Ni muelewa na mtu mzuri tu kuna matatizo madogo madogo kati yetu lkn mara nyingi tuna solve na kuendelea. Mimi mwnywe sijui kwann nilikubali kua na mahusiano na huyu kaka wapili lakini nampenda pia na yeye ni muelewa na mpole pia.Dada yangu umeamua kutengeneza cheni ya kujiambukiza magonjwa wewe mwenyewe kwa hiyari yako
Je huyo wa kwanza hakua muelewa ulipomueleza kero yako!
Yaan kipi kimefanya uchukue maamuzi hayo?!
Umalaya upo Damuni. Huwa ni ngumu kuacha mpaka .....Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.
Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.
Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Inawezekana lakin sidhani. Huyu wa kwanza sio mtu wa kujichanganya na watu muda wake wa ziada kama hayuko na mimi basi yuko home au kwa wazazi wake. Angekua na mwingine ningejua.Unaweza ukakuta nao kila mmoja ana zaidi ya wewe[emoji23]
Una maanisha nini?kuwa makini na gunia za mkaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ambavyo wao hawajui, nawe huenda hujui.Inawezekana lakin sidhani. Huyu wa kwanza sio mtu wa kujichanganya na watu muda wake wa ziada kama hayuko na mimi basi yuko home au kwa wazazi wake. Angekua na mwingine ningejua.
Ni muelewa na mtu mzuri tu kuna matatizo madogo madogo kati yetu lkn mara nyingi tuna solve na kuendelea. Mimi mwnywe sijui kwann nilikubali kua na mahusiano na huyu kaka wapili lakini nampenda pia na yeye ni muelewa na mpole pia.
LABDA USEME HAPA NI NINI KINACHOKUFANYA UWE NAO WOTE WAWILI, TUANZIE HAPO KWANZA,Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.