Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Hayati Magufuli tokea afariki dunia

Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Hayati Magufuli tokea afariki dunia

Umemkumbuka kwa lipi?
Au unapima upepo!!
Any way "kufa usifiwe ishi uzomewe"
Mama anaupiga mwingi.
 
Je Africa inahitaji watu imara au mifumo imara
Ndio Africa haihitaji kuwa na Viongozi imara ,only Taasisi imara tu kwa sababu hakuna watu plus Viongozi imara bila ya Taasisi imara watu
 
namkumbuka Ben Sanane
namkumbuka Azory Gwanda
nawakumbuka wale walio okotwa CoCo Beach kwenye viroba
 
Kwa sababu hakuuwa ndugu zako lazima ukivimbiwa makande uje hapa kujambajamba.
Ndugu zako kama walikuwa wajingajinga wamejaza mavi vichwani kambsa wale wa kule belgiji ni kutundikwa risasi tu ndio halali yao
 
Kila kitabu na zama zake....Magu nae alikuwa binadamu ambapo pamoja na ukamiilifu wake alikuwa na makosa ya kibinadamu, nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa lakini pia sikuafiki maoni yako kwa asilimia 100. Cha msingi ni kumpa kila mmoja nafasi yake kwa yale mazuri aliyofanya na kuyapokea mapungufu yake kama binadamu tulivyoumbwa.
Sawa,ni maoni yako na huo ni mtazamo wako pia
 
yanayoendelea nchini ni dhahiri tunarudishwa nyuma mnoooo haina ubishi.
Nakukumbushia tu ,tumesaini mktaba wa software ya kufuatilia mahali ambapo umeme unakatika nchini mwetu. Tumeikodi kwa 69bilioni. Piga hesabu Ni madarasa mangapi,vituo vya afya vingapi. Yaani haya Ni mauaji Kama mauaji mengine tu ya kimbali Mana unaona hela ambazo sio za kwako Ni za wananchi kwa manufaa yako. Huko vijijini Kuna akina mama wanajifungulia mazingira sio rafiki wanafariki ama watt wanafariki. Sasa tuna vijijini vingapi na wanajifariki Ni wangapi
 
Back
Top Bottom