Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfumo imara alioujenga Magufuli ni pamoja na kuchukia na kukataa rushwa. Msingi huu umetuwezesha watanzania tuliowengi kufuatilia maendeleo ya taifa letu kiuchumi na kijamii.Magufuli kajenga mfumo upi imara????? kama angeacha mifumo imara inchi isingekua kama ilivyo Leo
Hao watu imara wa Tanzania wamejenga mifumo ipi imaraMfumo imara unatengenezwa,watu imara chini ya kiongozi imara. Mfumo imara haujengwi na malaika kwani nao nado utahitaji mtu imara.
Hakika ni kweliTulisema humu watu wakawa wabishi,,,,,,always time will tell JPM is the best one of all the time
Rhe man wae a hero ti my nation, nitaomboleza kifo chake mpaka nazeekaHakika ni kweli
Magufuli ndo alikua bingwa wa rushwa unajua maana ya mifumo imara hata kama haupo bado inafanya kaziMfumo imara alioujenga Magufuli ni pamoja na kuchukia na kukataa rushwa. Msingi huu umetuwezesha watanzania tuliowengi kufuatilia maendeleo ya taifa letu kiuchumi na kijamii. Inatufanya tujue haraka tunapopigwa na viongozi wa hovyo. Leo Kila mtu anajua kuwa tumerudi hatua kumi nyuma
Sikuwahi kumkubali huyu mwamba kipindi chake chote Cha utawala mpaka anakufa.
Akili imenikaa sawa sawa,kama binadamu ni kweli alikuwa na mapungufu yake hakuna mkamilifu...
Ni ngumu kuthibitisha haya,sipo hapa kuyapa nafasi maneno ya wenye chuki na kinyongoMagufuli ndo alikua bingwa wa rushwa unajua maana ya mifumo imara hata kama haupo bado inafanya kazi
Kipindi Cha magufuli ni fisadi yupi aliyefungwa Zaid ya kuambiwa watoe kishika uchumba, Tanzania hakuna mifumo imara ndo maana nchi ni maskin
NasemaSikuwahi kumkubali huyu mwamba kipindi chake chote Cha utawala mpaka anakufa.
Akili imenikaa sawa sawa,kama binadamu ni kweli alikuwa na mapungufu yake hakuna mkamilifu.
Nakubali huyu mwamba alikuwa na nia ya dhati ya kulipigania hili taifa. Nahisi labda njia tu ndo zilitukwaza baadhi yetu nimemsahe pale ambapo alinikwaza kama mwananchi wa kawaida.
Nampa udhuru pia kwasababu naamini ilitakiwa iwe vile,Kwa namna ambavyo Watanzania tulivyo ilimlazimu awe vile. Kubembelezana na kulambanalambana kumetufanya tuchelewe Sana. Kama kiongozi alikuwa sahihi kuwa mkali hasa Kwa mafisadi, wahujumu uchumi, mabeberu na vibaraka wa mabeberu.
Kwa haya yanayoendelea nchini ni dhahiri tunarudishwa nyuma mnoooo haina ubishi. Kama mtanzania nimeona nisiwe mnafki, nasema kweli kutoka moyoni mwangu.
Alisema Magufuli "mutanikumbuka, tena sio Kwa ubaya mtanikumbuka Kwa mazuri" Nakiri kumkumbuka Magufuli Kwa mazuri yake.
Mnisamehe Watanzania wenzangu ambao niliwakwaza Kwa namna yoyote ile hasa wale ambao walibahatika kuwa na maono ya haraka juu ya uzuri wa Magufuli. Nakiri nilitenda kosa la kumzungumza vibaya mzee wetu.
Magufuli ametenda, kwa hali iliyopo Sasa hivi Kila mtu anashuhudia. Na huko tuendako tutaimba nyimbo moja.
Ahsanteni sana.
JPM alikua dikteta na aliua watu wengi akasahau na yeye ni binadamu Sasa hivi ni marehemuNi ngumu kuthibitisha haya,sipo hapa kuyapa nafasi maneno ya wenye chuki na kinyongo
Sasa huo mfumo wako imara utatengenezwa na akina nani walio imara?Hao watu imara wa Tanzania wamejenga mifumo ipi imara
Acha kupotosha taja watu waliouwawa na Mxalendo wa kweli JpmJPM alikua dikteta na aliua watu wengi akasahau na yeye ni binadamu Sasa hivi ni marehemu
Taja rais ambae hakuua mtuKwa sababu hakuuwa ndugu zako lazima ukivimbiwa makande uje hapa kujambajamba.
Nitajie raisi yoyote ambaye haui raia. Au unadhani pale ikulu wapo kuchekea wapumbavu kama wewe?JPM alikua dikteta na aliua watu wengi akasahau na yeye ni binadamu Sasa hivi ni marehemu
Hatampata hata ashirikiane na ndugu zake wote kwenye ukooTaja rais ambae hakuua mtu
Hii nchi tunahitaji kuwa na Rais chuma kama MagufuliUkisubiri kuona mtu aliokamilika, sahau kuwa huru. Chuma alitumia nafasi yake.