Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Hayati Magufuli tokea afariki dunia

Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Hayati Magufuli tokea afariki dunia

Nakukumbushia tu ,tumesaini mktaba wa software ya kufuatilia mahali ambapo umeme unakatika nchini mwetu. Tumeikodi kwa 69 bilioni...
Na nchi Ina upungufu wa megawatt 190 za umeme kama sikosei. Hiyo pesa ilikuwa na uwezo wa kununua mtambo ambao tungeweza kupunguza zaidi tatizo la umeme kuliko kuingia kwenye haya matumizi mabaya ya fedha za umma.
 
namkumbuka Ben Sanane
namkumbuka Azory Gwanda
nawakumbuka wale walio okotwa CoCo Beach kwenye viroba
Kama walikuwa na lengo la kutuweka mikononi mwa Mabeberu na kuuhujumu uchumi wetu, endelea kuwakumbuka
 
Na nchi Ina upungufu wa megawatt 190 za umeme kama sikosei. Hiyo pesa ilikuwa na uwezo wa kununua mtambo ambao tungeweza kupunguza zaidi tatizo la umeme kuliko kuingia kwenye haya matumizi mabaya ya fedha za umma.
Ile crane ya kunyanyua door ya Tani 260 haipo. Bwawa lisifanyike ili umeme wa gesi utumike na tuuze gesi ya rostam ingawa Kuna mkubwa nyuma yake. Yaani itapitishwa Sheria Kama huna gesi ama mtungi wa Taifa gesi ndani unawekwa ndani.

Bwawa lingekamilika tungepata umeme wa Bei Chee Mana gesi ilishauzwa ,jom alivyochungulia akacheki kuwa gesi Ni ya kwetu imeuzwa tukiitaka tunauziwa Tena.

Watu wana hisa zao Sasa wee cheza huoni tunaambiwa tutumie gesi ya Taifa gesi Mana zingine Kama mkaa kuni oryx mihan lake manjis n.k tutapata kansa na macho yataumia pia na mapafu yanasumbuka. Yaani bana mtu akiwa kiongozi anajiona Kama Ni mjanja Bali wengine Ni watoto wake
 
Wengine walipata haki yao ( walipata walichokitafuta) , wewe mbona Uko hai???

Na Huyo aliyewatafuta amepata haki yake? Au ndiyo hivyo kama Nape alivyosema bahari imetulia Mungu ameamua?
 
Kama ulijua anafanya kazi nzuri kwanini ulimdiss akiwa hai, sie tulimpa sapoti akiwa hai. Kula mfumuko wa bei na msamaha wako baki nao
Kwahiyo unadhani kumkubali Sasa hivi itakuwa inakupunguzia umaarufu wako? Roho mbaya mpaka kwenye mapenzi binafsi ya mtu? Ndio maana nikakuambia utakufa mapema sana kwasababu najua uko na msongo mkubwa sana wa mawazo. Pole Sana kijana
 
Sikuwahi kumkubali huyu mwamba kipindi chake chote Cha utawala mpaka anakufa.

Akili imenikaa sawa sawa,kama binadamu ni kweli alikuwa na mapungufu yake hakuna mkamilifu...
Utakuwa huna akili au unashikiwa akili..Yanayoendelea Nchini yapi hayo?
 
Nakukumbushia tu ,tumesaini mktaba wa software ya kufuatilia mahali ambapo umeme unakatika nchini mwetu. Tumeikodi kwa 69bilioni...
Ulivyogusia wamama kujifungulia mazingira yasiyo rafiki umenikumbusha mbali mkuu. Ni majuzi tu tumesaidia mmama kujifungua nje ya hospitali na wahusika wakiwa ndani wanastrem mitandaoni.

Kilicho saidia wote tuliyokuwa maeneo Yale wengi wao ni wale walio tayari kufa kwa ajiri ya wananchi/nchi.
 
Kwahiyo unadhani kumkubali Sasa hivi itakuwa inakupunguzia umaarufu wako? Roho mbaya mpaka kwenye mapenzi binafsi ya mtu? Ndio maana nikakuambia utakufa mapema sana kwasababu najua uko na msongo mkubwa sana wa mawazo. Pole Sana kijana
KUla mgao ushibe
 
Back
Top Bottom