Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Hayati Magufuli tokea afariki dunia

Umemkumbuka kwa lipi?
Au unapima upepo!!
Any way "kufa usifiwe ishi uzomewe"
Mama anaupiga mwingi.
 
Je Africa inahitaji watu imara au mifumo imara
Ndio Africa haihitaji kuwa na Viongozi imara ,only Taasisi imara tu kwa sababu hakuna watu plus Viongozi imara bila ya Taasisi imara watu
 
🤔🤔🤔🤔😂😂😂Kazi kweli.Mtu akizoea kuishi kama punda asikatazwe.
 
namkumbuka Ben Sanane
namkumbuka Azory Gwanda
nawakumbuka wale walio okotwa CoCo Beach kwenye viroba
 
Kwa sababu hakuuwa ndugu zako lazima ukivimbiwa makande uje hapa kujambajamba.
Ndugu zako kama walikuwa wajingajinga wamejaza mavi vichwani kambsa wale wa kule belgiji ni kutundikwa risasi tu ndio halali yao
 
Sawa,ni maoni yako na huo ni mtazamo wako pia
 
yanayoendelea nchini ni dhahiri tunarudishwa nyuma mnoooo haina ubishi.
Nakukumbushia tu ,tumesaini mktaba wa software ya kufuatilia mahali ambapo umeme unakatika nchini mwetu. Tumeikodi kwa 69bilioni. Piga hesabu Ni madarasa mangapi,vituo vya afya vingapi. Yaani haya Ni mauaji Kama mauaji mengine tu ya kimbali Mana unaona hela ambazo sio za kwako Ni za wananchi kwa manufaa yako. Huko vijijini Kuna akina mama wanajifungulia mazingira sio rafiki wanafariki ama watt wanafariki. Sasa tuna vijijini vingapi na wanajifariki Ni wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…