Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Hayati Magufuli tokea afariki dunia

Attachments

  • Screenshot_20221102-131740.png
    137.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221102-131713.png
    57.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221102-131224.png
    221 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221102-131134.png
    179.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221102-130931.png
    144.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221102-130548.png
    126.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221102-130718.png
    151.9 KB · Views: 3
HALLELUJAH
 
View attachment 2405157
Kwanini wakulima wanagomea bei ya korosho?

View attachment 2405158
Kwa hali halisi ya huku mtaani labda iwe umelazwa milembe ndo utakuja kukubaliana na hizi pumba
Sio tuu kwamba wewe ni mburula bali ni nyumbu kabisa..

Aliyekwambia mnada wa korosho unafanyika siku Moja nani? Minada iliyofuatia waliuza kulingana na Bei iliyokuwepo..

Hutaki kajinyonge exports ya korosho Ndio hiyo imeenda Marekani..

Swala la bima ni kwamba hata hujui kwamba kiwango cha ununuzi wa magari kimeongezeka? Hujui biashara ya logistics imeongezeka? Hujui kwamba kandarasi zimeongezeka hakuna upuuzi wa force account? Pole Sana.

Wewe ni looser unayedhani shida za familia yako Ndio za watu wote,endelea kuomboleza na kulalamika fursa zitakutafuta sawa.. πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221102-180353.png
    154.1 KB · Views: 3
Ukweli umekuweka huru mkuu.
 
Too late mkuu tuliompambania akiwa hai ndo tuna haki ya kumkumbula, watu kama wewe mpo wengi, so bora muendelee na msimamo wwnu tu haisaidii kwa sasa kumkubali
 
Je, Africa inahitaji watu imara au mifumo imara.
Mfumo imara unatengenezwa,watu imara chini ya kiongozi imara. Mfumo imara haujengwi na malaika kwani nao nado utahitaji mtu imara.
 
Mwaka 2020
Eneo la Afrika Mashariki lilikuwa na uhaba wa mvua na baada ya mda ikaanza Covid. Kenya walikuwa na uhaba wa chakula na mazao yao machache yalishambuliwa na nzige.So walitegemea chakula kutoka Tz.

Mwamba akapiga stop kuuzwa chakula nje ya mipaka ya Tz,japo matahira wa humu JF wakamwita dikteta na kupinga pinga na mimba zao za chuki zisizo komaa. Kukawa na mfumuko wa bei za chakula na bidhaa mbalimbali sababu ya uviko lkn Tz hatukuona huo mfumuko. Hatukuona mgao wa maji kabisa wala wa umeme,ila sasa ukiwauliza ukame, mara Ukraine na Russia kwani ndio vichaka vyao.

Hapo bado alifanya makubwa bila hata kutumia tozo,sasa hivi kila ukigeuka unakutana na tozo ukikaa tozo,ukisimama tozo,ukilala tozo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…