Kwa mara ya kwanza nimempata mwanamke asiyeomba pesa

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!

Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini. Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose ustaarabu.

Wadada mkizaliwa katika familia za kimaskini tafadhali msitumie miili yenu kama chambo ya kutatulia shida zenu. Pambaneni kama sisi wanaume.
 
Habari!
Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini.
Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose ustaarabu.

Hitimisho lenye angalizo.Vijana oeni wanawake matajiri/waliotoka familia tajiri ili kuepuka huzuni maishani.😂😂😂
 
Habari!
Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini.
Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose ustaarabu.
Wadada mkizaliwa katika familia za kimaskini tafadhali msitumie miili yenu kama chambo ya kutatulia shida zenu. Pambaneni kama sisi wanaume.

Kuomba omba hela ni tamaa za kijinga, umasikini na mazoea mabaya wewe sio ATM kama mahusiano yako yametawaliwa na kuombwa sana pesa jua mpenzi au mke wako anajiuza kwako akikosa kwako atamuuzia mwingine
 
Back
Top Bottom