Kwa mara ya kwanza nimempata mwanamke asiyeomba pesa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah we jamaa umenichekesha balaa. Eti "kweli nikampush". Kwahiyo alikuwa anakuectia kuwa sio nyoka ni jongoo kumbe ni koboko aliekuwa anakuwa taratibu.
 
Data zikionyesha 90% ya tabia kwa watu fulani then hiyo ndio itakuwa conclusion ya behavior ya hao watu. Sasa kwa hali ilivyo sasa, katika kila wadada 100 utakaokutana nao hata kama si kimahusiano ya kimapenzi bali ukaribu tu ambao hauna jina la aidha undugu, ujirani, au urafiki basi katika hao wadada 100, wadada 99 wataanzisha mazoea ya kutaka uingie gharama yoyote kwaajiri yao ili watumie rasilimali zao kujipatia mahitaji yao ya msingi na yasiyo ya msingi. Ila wanahitaji hivyo bila kuwa na makubaliano yoyote ya kimahusiano as if ni haki wao kupewa na mwanaume kugawa gawa bila utaratibu.
 
Usi conclude kuwa population nzima au sample nzima wote wako hvo, just because hypothesis yako ilitiki kwa wadada 99 out of 100, mpe hyo benefit of doubt kwenye population aliyomo
 
Hapo unawekwa sawa kilengeoni jombaa ngoja ukae sawa utakuja kufuta huu uzi. Btw huyo sio wa kule ukanda alipokuwa Sabaya kweli maana ndo gia zao hizo.
 
dah dunia ina visa kwakeli , kwahiyo tu imagine mtu anaeishi k/koo anaeamshwa na makelele[emoji28]...ulivyapaongelea unafikiri mtu anaishi mahala gani
[emoji23]
 
Wasikutishe mkuu! Mimi namaliza mwaka wa4 huu bila kuombwa hata hela ya vocha wala nauli na bado napendwa vizuri na nahudumiwa vizuri kwa nafasi yangu [emoji94] ( Neno ilo litaleta ukakasi kidogo kwa wazee wasio na dogo, NAHUDUMIWA NA MWANAMKE )
 
Huwa tunazuga hivo.
Hatuombi hela ili siku tukiomba hela kubwa wajue kweli tumebanwa maana hatuna mazoea ya kuomba omba.

Hata mimi huwa siombi kabisa hadi mtu anashangaa lakini baada ya muda naomba kwanzia 500k. Hapo mtu anajua kweli huyu hadi kaomba kweli amekwama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ