Kwa Mara ya Kwanza nimeona Mafanikio ya Serikali kwenye suala la Machinga, Hongera Serikali ya Awamu ya Sita

Nenda soko la Karume ( Mchikichini ) kila mmoja anajifanya machinga ila watu wana mitaji mpaka ya 200M hapo.

Na ndio maana hata kipindi kile soko limeungua walirudi kwa kasi kama hakikutokea kitu.
Kweli kabisa Mkuu! Kupitia huu utaratibu mpya serikali itapata majibu sahihi na Pia kuweza kukusanya mapato sahihi ambayo ilikuwa haiyakusanyi kwa kipindi kirefu sana kwa kweli
 
Wameshindwa kuwatoa machangudoa na wala shisha ambao ni wahalifu wataweza kuwatoa machinga ambao hawamwibii mtu yoyote?

Tatizo viongozi wetu huwa hawajifunzi kutokana na historia ni suala la muda tu ngoja hela ziwaishie.
Machinga hawalipi kodi!! Bora wenye biashara zenye leseni wataongeza mapato!!watu waliweka hardware's katikati ya barabara
 
Hivi mandate ya kusema Kwa kuwa Rais ni nwanamke mnaitoa wapi .to be honest hii kauli binafsi inanikera na inanikera hata pale inaposenwa na mama mwenyewe it's disgusting to hear such statement.
 
Mimi nina mtazamo binafsi kuwa asilimia fulani ya Machinga ni watu wa mfumo. Wanatumika kufanya surveillance, kukusanya data na kusambaza propaganda. Hili zoezi ni geresha tu, ndiyo maana maeneo hayo hayo wanapoondolewa, kuna vibanda bado vimebaki.

Hauwezi kuniambia Serikali haikuwa inaliona hili tatizo hadi limekuwa kubwa hivi. Kuna maeneo kabisa wanajenga vibanda hadi unajiuliza haiwezekani huyu kufanya hivi bila kuwa na baraka za mamlaka husika.
 
Magufuli si aliwaruhusu??..au umesahau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina mtazamo binafsi kuwa asilimia fulani ya Machinga ni watu wa mfumo. Wanatumika kufanya surveillance, kukusanya data na kusambaza propaganda. Hili zoezi ni geresha tu, ndiyo maana maeneo hayo hayo wanapoondolewa, kuna vibanda bado vimebaki.

Hauwezi kuniambia Serikali haikuwa inaliona hili tatizo hadi limekuwa kubwa hivi. Kuna maeneo kabisa wanajenga vibanda hadi unajiuliza haiwezekani huyu kufanya hivi bila kuwa na baraka za mamlaka husika.
Siasa za kijinga na ushamba ndo vilitufikisha huko
 
Ilikuwa aibu! Tulikuwa tunaonekana wote ni nchi ya wajinga tusio wasafi na tusiofuata taratibu!

Kweli kwa hili naipongeza awamu ya sita! Wasirudi nyuma tu
Uchafu kila corner in the name of wanyonge serikali kwa hili iwe strictly maana jiji limeanza kuwa safi
 
Amani iwe nanyi wanabodi!

Wakati Mama Samia anatangaza mkakati wake wa kuwapanga upya machinga kwenye maeneo mbalimbali, nilibarikiwa kuwa mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kutoa ushauri wangu humu!
Mama anakwenda vizuri suala la wamachinga lipo kwenye Mpango wa ustawi wa maendeleo na mkakati wa kuwaweka katika masoko ya pamoja.
 
Mimi nina mtazamo binafsi kuwa asilimia fulani ya Machinga ni watu wa mfumo. Wanatumika kufanya surveillance, kukusanya data na kusambaza propaganda. Hili zoezi ni geresha tu, ndiyo maana maeneo hayo hayo wanapoondolewa, kuna vibanda bado vimebaki.

Hauwezi kuniambia Serikali haikuwa inaliona hili tatizo hadi limekuwa kubwa hivi. Kuna maeneo kabisa wanajenga vibanda hadi unajiuliza haiwezekani huyu kufanya hivi bila kuwa na baraka za mamlaka husika.
Mshaaanza na wazeee wa mifumo (system), wazeee wa Masuti suti na majina kadha wa kadha
 
Zoezi hili ni zuri katika kuleta mandhari nzuri ya majiji yetu lakini sasa hili kundi haswa la vijana watengewe eneo zuri la kufanyia biashara tena liwe na mpangilio mzuri, wahimizwe kuzingatia usafi na tukusanye ushuru mdogo kutoka kwao ili kusaidia kutoa huduma katika maeneo yao ya biashara.
 
Nenda soko la Karume ( Mchikichini ) kila mmoja anajifanya machinga ila watu wana mitaji mpaka ya 200M hapo.

Na ndio maana hata kipindi kile soko limeungua walirudi kwa kasi kama hakikutokea kitu.
Machinga huwa awaweki stock yote sehemu moja
 
Back
Top Bottom