Kwa Mara ya Kwanza nimeona Mafanikio ya Serikali kwenye suala la Machinga, Hongera Serikali ya Awamu ya Sita

Hatutaona aibu kukiri kuwa JPM aliwatendea mema wamachinga, na wenyewe wataendelea kumshukuru na kumkumbuka daima!

Huo muonekano unaoufurahia hauwapi shibe watu maskini watanzania
Kwa nini hamkukaribishwa Ikulu?
Kuna biashara nzuri kule, hela yoote inatoka kule, ukipanga meza mlangoni faida tupu.
 
Watoto mliozaliwa juzi hamjui kwamba miji ina sheria zinazoongoza namna ya kuishi mjini.
Sheria za uzururaji zipo
Sheria za biashara zipo
Sheria za mazingira zipo
Sheria za usafi zipo

Tatizo kubwa la ninyi wenye mawazo kama yako ni kufikiri unapanda treni toka Uvinza na unajenga banda la mbao pale Posta , unakaanga chips na kuuza vipodozi, na maisha yanaenda!

Mwendazake aliwahadaa kwa malengo ya kisiasa.
 
Wameshindwa kuwatoa machangudoa na wala shisha ambao ni wahalifu wataweza kuwatoa machinga ambao hawamwibii mtu yoyote?

Tatizo viongozi wetu huwa hawajifunzi kutokana na historia ni suala la muda tu ngoja hela ziwaishie.
Machangu wapo mitandaoni uliona wp wamejenga juu ya mtaro wa maji
 
Kufukuza na kubomoa vitega uchumi vya muwekezaji machinga ni tofauti na kuhamisha uwekezaji .
Unapoteza mtaji na wateja.
Unakuwa desperately doomed
Stressed and frustrated .
How do you cub this phenomenon?
 
Reactions: Tsh
Muda sio mrefu atakuja kiongozi atasema machinga warudi kwenye maeneo yao Kama zamani ni suala la muda tu
Huko walipopelekwa kama mauzo hamna nawaona wakirudi tena mjini na hapo ndio kamatakamata na fujo zitaanza, tena huwa wanategea uchaguzi unapokarbia, hapo wanajua hawaguswi maana watanu
 
Mi natolea mifano Mwanza, wewe unazungumzia Posta! Watu washamba mnafikiri maisha yako Dar tu! Pumbavu! Halafu, unavyoshadidia Machinga utafikiri wewe hiyo fremu ya duka unalo!

Eti JPM aliwatumia kisiasa. Sawa. Nakupa changamoto. Kama wewe ni mwanasiasa nenda kwenye kampeni za 2025 ukiwaambia wananchi kuwa ukichaguliwa utahakikisha unawashughulikia Machinga uone kama utashinda. Hata huyo Mama ni mnafiki tu.
 
Unadhani watanzania wote ni matahira Kama wewe?

Fuatilia maoni ya watu! Wengi wanaunga mkono juhudi za serikali kuwapanga vizuri ili wafanye biashara Kwa mpangilio na kistaarabu
 
Naunga mkono hoja zako lakini punguza kumsifia Sifia bila sababu,
 
Unadhani watanzania wote ni matahira Kama wewe?

Fuatilia maoni ya watu! Wengi wanaunga mkono juhudi za serikali kuwapanga vizuri ili wafanye biashara Kwa mpangilio na kistaarabu
Watu wengi unamaaninisha walioipigia kura CCM iongoze Serikali? Hapo sawa. Nakuunga mkono!!!
 
Watu wajinga kama ninyi mmewapotosha wajinga wenzenu hadi wengine kukimnia nchi na wengine kupata kesi za ugaidi! Pumbavu!!
Mkuu ukiwa huna kitu kichwani heri wewe soma na ukanywe tap tap kwa afya yako.
 
Mkuu ukiwa huna kitu kichwani heri wewe soma na ukanywe tap tap kwa afya yako.
Jana nimepokea mshahara. Sasa hivi nakunywa Konyagi huku nikiiangalia Simba ikiua mtu. Hapo kwenye taptap mnaangalia kweli mpira au mnacheza Dogoli! Ahahahahahah!!!
 
Huu utakuwa waraka kwa wakuu wa mikoa usomwe na Wakuu wote wa mikoa.
 
Ukweli ni kwamba hata barabara sasa zinaonekana vizuri baada ya kuondoa hao wanaoitwa wajasiriamali aka wapiga kura , sijui walikua wanaona tabu gani kuwaondoa hao maana waliwaruhusu wenyewe kuwa mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…