Kwa mara ya Kwanza nimepokea Call zaidi ya 500 na SMS 2076 ndani ya masaa 11; Vijana Nani kawaloga?

Kizazi hiki tulichinacho kuna umbwe kubwa sana yaan ni huzuni sana.
 
Serikali ifuatilie Sana. Kuna siku utalia mzinga hapa taifa litabaki mdomo wazi.
Hata wakisema wamfunge haitasaidia kwani aibu ishaingia tayari.

Wanasema jinga ni Bora kuliko Tiba, na Kheri lawama kuliko Fedheha
Kwani viongozi Ni kina Nani?!
Ulie tu huo mzinga . ... Itakuwa funzo kwao pia!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
We mwenyewe umelogwa, ujana ni maji ya moto, vijana huwa hawajaribiwi kwenye jambo lolote liwe baya au zuri, pia wewe hukuwa mstaarabu kwa kuwapitisha vijana kwenye majaribu ambayo sio ya lazima, kitu gani kingine umewahi kufanya ambacho ni positive kwa vijana zaidi ya hii ya kuwatia majaribuni!?
 
Mtu kujirekodi yeye mwenyewe kwenye simu yake sio tatizo.
Tatizo ni huyo mwizi wa kuchukua nyaraka za mtu mwingine na kuzihamisha bila ridhaa ya mhusika hiyo ndio sio haki.
Bado ni tatizo, unajirekodi ili iweje!? Kitendo cha kujirekodi tu unafanya jambo lolote ujue upo kwenye risk
 

Sio kazi yangu kujifanya ujue nimefanya nini chenye manufaa, wanaopenda manufaa wanajua wenye kuandika mambo ya manufaa
 
Hamna Ajira ndio maana vijana wanapotea Kila siku.
 
Kati ya watu 100 watu 95 wanapendelea burudani zaidi ya kitu chochote duniani. Kwahiyo tegemea hilo na shetani kawekeza huko zaidi. Ukiweka jambo jema la kawaida hakuna atapenda ila lile la kusisimua mwili ni kama madawa ya kulevya na pombe utaona mwitikio wa 95%.

Hili pia ni fundisho kubwa sana kwa wajasiriamali kutumia huu utafiti wako mdogo
 

Ni kweli wafanyabiashara wanaweza kukuchukulia hili Kama fursa
 
Wazee tuache majungu, ebu mwenye hiyo kitu kweli anikute PM asee.
 
Manara katukana sana wakamwacha alipotukana wakubwa kapigwa banny
 
Alafu hii video hata siyo yeye... Yule siyo yeye...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…