Kwa mara ya Kwanza nimepokea Call zaidi ya 500 na SMS 2076 ndani ya masaa 11; Vijana Nani kawaloga?

Kwa mara ya Kwanza nimepokea Call zaidi ya 500 na SMS 2076 ndani ya masaa 11; Vijana Nani kawaloga?

Huu ugonjwa hauwezi kupona, 80% wanaenjoy kuangalia kuliko kupaza sauti kuwa KITENDO kilichofanywa si sawa, Jamii yetu IPO nyuma sana kwenye suala Zima la UDHALILISHAJI.
What happened isn't normal at all
Wanaopaza sauti nao wanapaza baada ya kuangalia mpaka mwisho si kabla.
 
Huu ugonjwa hauwezi kupona, 80% wanaenjoy kuangalia kuliko kupaza sauti kuwa KITENDO kilichofanywa si sawa, Jamii yetu IPO nyuma sana kwenye suala Zima la UDHALILISHAJI.
What happened isn't normal at all

Mpaka mkubwa mmoja wa nchi video yake ivuje ndio serikali itachukulia Sirius mambo haya.
Alafu sio mbali Jambo Hilo litatokea hivi karibuni subiri
 
sharing is caring wakati wana record ma video yao ya utupu sisi tulikuwepo wacha wadau wagawane dhambi

Sent using Jamii Forums mobile app

Wengine ni wahanga tuu!
Mtu kujirekodi mwili wake sio shida, hata akiupost mwenyewe sioni tatizo.
Tatizo ni kuchukua simu ya mtu(kuiba nyaraka zake ikiwemo video zake za uchi) na kupost Mtandaoni Hilo kwangu ninalihesabu Kama kosa na Kwa jicho la Haki hiyo sio haki.
 
Taikon unajichosha bure tu.. hawa watoto ni wakosa adabu, hata za mama zao wataziomba waziangalie! Wamechanganyikiwa hawana maisha hivyo hawana chakupoteza!

Serikali ifuatilie Sana. Kuna siku utalia mzinga hapa taifa litabaki mdomo wazi.
Hata wakisema wamfunge haitasaidia kwani aibu ishaingia tayari.

Wanasema jinga ni Bora kuliko Tiba, na Kheri lawama kuliko Fedheha
 
Ndivyo ilivyo mkuu mambo yasiyo na tija sampuli hiyo yana wafuasi wengi kulinganisha na mambo yenye manufaa. Tumuombe MUNGU atujalie mwisho mwema

Kuna mambo sio ya kumuomba Mungu. Hatua zichukuliwe, yako ndani ya uwezo wetu
 
Isije ikawa ajenda ya mawese inazimwa maana bongo ikija habari ya connection tuna acha hadi mambo ya maana aise kwa navyoona serekali imetumia akili kubwa kufatana na watu wake.[emoji848][emoji848]
 
Mimi nimeiona kuna best angu kanitumia tuu niangalie tumbo la uwoya. Ila mbona udhalilishaji umezidi? Huyo aliekua anarekodi ni mwanaume nadhani kwa sbb mikono ya mdadai ilikua imetulia tuu. Sasa cha kufanya ni huyo Irene aanze kwa kumshtaki huyo mwanaume why arekodi na avujishe?
 
Demu kahaba yule unafikri anamkumbuka ata aliyemrekodi bac amebaki kulaumu tu ajui ni nani aliyemrekodi na kuvujisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom