Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi ni mchaga original na dini yangu ni Catholic ila wanyama wangu watakuwa wanachinjwa na waislam.Watakuwa wanachinjwa na waislam siyo kwa sababu za kidini bali kwa sababu waislam huwa wanajua kuchinja vizuri.Kuna wadau wamesema hiyo ina maana yake kimila...
USHIRIKINA!
Ukweli ni kwamba Wachagga wanafunga mwaka kwa MATAMBIKO!
Hii habari ya kurudi eti kusherehekea Christmas nyumbani ni Camouflage tu sababu ushirikina ni sifa mbaya!
Tueleze wewe kwanini adidimizwe kisu cha moyo badala ya kukata shingo..?Kuna uhusiano wowote wa kishirikina na tendo hilo la kumziba mdomo wakati wa kumchinja?
Hapa amesema amechinjwa akiwa amefumbwa mdomo.Hiyo ya kudimizwa kisu cha moyo naiona kwenye kiti motoTueleze wewe kwanini adidimizwe kisu cha moyo badala ya kukata shingo..?
Hiyo ilikua zamani ila siku hizi Kitimoto anachinjwa kawaida tu fuatilia utaona.Je ungeshuhudia anavyo tolewa roho KITIMOTO, si ndio ungekuwa VEGETERIAN kabisa.
Kwa kifupi hachinjwi, anapigwa bonge moja la rungu kwenye kichwa. Haombi hata maji. Sasa umkosee kumpiga panapotakiwa kupigwa, yaani umjeruhi asife. Huo mtafaruku wake si wa kispoti spoti.
Enhe..Ha haaaa...
Umenikumbusha kuna mzee wangu wa kichaga alinipa siri ya mbuzi kuchinjwa huku akiwa amezibwa mdomo huko uchagani.
Je ungeshuhudia anavyo tolewa roho KITIMOTO, si ndio ungekuwa VEGETERIAN kabisa.
Kwa kifupi hachinjwi, anapigwa bonge moja la rungu kwenye kichwa. Haombi hata maji. Sasa umkosee kumpiga panapotakiwa kupigwa, yaani umjeruhi asife. Huo mtafaruku wake si wa kispoti spoti.
Warombo wakoje? Na wachaga wakoje? Kwa tafsiri yako?Wewe ni mrombo au ni mchaga?? Tuanzie apo!
Wachaga wengi ni washirikina Sana , wengi wanatumia dumba kwenye biashara zao, wanafuga sana misukule kwenye nyumba zao za biashara, Cha kushangaza siku ya jumapili utawakuta wamebeba Bible na kuwahi kanisani utafikiri kweli ni waumini wa kweli kumbe wengi ni vigagula.Kuna wadau wamesema hiyo ina maana yake kimila...
USHIRIKINA!
Ukweli ni kwamba Wachagga wanafunga mwaka kwa MATAMBIKO!
Hii habari ya kurudi eti kusherehekea Christmas nyumbani ni Camouflage tu sababu ushirikina ni sifa mbaya!
Kifupi ni kuwa huyo mbuzi alikuwa wa mila, sasa akishazibwa mdomo mkakosea akatoa sauti basi hiyo mila haifai tena ,lazima atafutwe mbuzi mwingine kwa ajili ya shughuli hiyo
Wachaga wengi ni washirikina Sana , wengi wanatumia dumba kwenye biashara zao, wanafuga sana misukule kwenye nyumba zao za biashara, Cha kushangaza siku ya jumapili utawakuta wamebeba Bible na kuwahi kanisani utafikiri kweli ni waumini wa kweli kumbe wengi ni vigagula.
Swali zuri!Warombo wakoje? Na wachaga wakoje? Kwa tafsiri yako?
Nadhani hili litakua linahusisha mambo ya mila..wengine nasikia wakishachinja wanaangalia viungo vya ndani vimekaaje na kuweza kubashiri hali ya ukoo nk.Sisi kwetu hachinjwi anazibwa mdomo anachomwa kisu kifuani
Mkuu uchagani n'gombe hafai kwa milaSasa Mbuzi unaweza kuziba mdomo na kuchinja/kutoboa.. sasa ikiwa mnachinja Ng`ombe wa mila mnafanyaje? Nae mnashikilia mdomo kufunga? Ki vipi?
Wewe umesikia wapi mkuu kwamba hio jamii ni wachawi? Unafikiri uchawi ndio hiyo kufuga misukule? Uchawi ni everything like air..hata maandishi haya unayosoma yanaweza kuwa yakichawi.usikariri tunguli tu
Ng'ombe hafai kwa mila mkuu hua ni mbuzi tu na wakati mwingine huwa ni mbuzi maalumu mfano kuna mila inataka mbuzi jike ambae hajazaa wala kugegedwa.Sasa Mbuzi unaweza kuziba mdomo na kuchinja/kutoboa.. sasa ikiwa mnachinja Ng`ombe wa mila mnafanyaje? Nae mnashikilia mdomo kufunga? Ki vipi?
Wewe umesikia wapi mkuu kwamba hio jamii ni wachawi? Unafikiri uchawi ndio hiyo kufuga misukule? Uchawi ni everything like air..hata maandishi haya unayosoma yanaweza kuwa yakichawi.usikariri tunguli tu