Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

Mbee.. umeelezea kila kitu vizuri kabisa. Umemaliza.
 
Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.

Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.

Happy New Year!
Hukuwa na njaa wewe.....alie ili iweje. Wenzetu wenye machinjio ya kisasa, wanyama wanapigwa shot na kurizai kabla hawajachinjwa. Lengo ni kumchi ja akiwa unconscious. Huyo nae hutamla kisa amepigwa short?
 
Anabanwa mdomo halafu anatobolewa shingoni na kitu chenye ncha kali!
 
Mkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.
Mal croyance🤔
 
Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.

Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.

Happy New Year!
Kula tu, bwashee, mbona una kula samaki alikufa, hujashangaa alikufa lini na saa ngapi? ukimchunguza sana bata hutoweza kumla
 
Mchinja nguruwe katika ubora wako.
 
Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.

Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.

Happy New Year!
Bwashee unawaandama sana wachaga
 
Mkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.
Huko sio kuchinja bwashee
 
Kulingana na Mila za kichaga Wanawake hawaruhusiwi kufika sehemu ya kuchinjia..
 
Hapo kwenye kumziba pumzi hadi afe sio kweli mkuu labda wachaga wapo tofauti ila Marangu tukishamziba mdomo kuna visu vyetu venye ncha mbili kali tunatoboa kifuani tunalenga Moyo.
 
Haram-Halal?
Kwanza upo huko Ushirombo Ushatupwa toka Denmark au imekuaje ?
 
Mkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.
Huo Ni Ushirikina Tu. Kumbe Wanachoma Kisu, Hawachinji. Wafanyao Hayo Wana Deni Kubwa La Kulipa Nafsi Za Viumbe Hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…