Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.

Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.

Happy New Year!
Ujinga mtupu, hyo ni asili yao sasa unataka wachinje utakavyo wewe?
 
Mkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.
Wala syo mila ni utaratibu tu wa kawaida, kelele za kuchinjwa zinafanya wengine wakose hamu ya kumla kwa kuona huruma
 
Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.

Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.

Happy New Year!
Hiyo ni asili yao kwan kuna madhara gani tena anabanwa pumzi mpaka afe ndio achinjwe kikwetu
 
Mimi ni mchaga original na dini yangu ni Catholic ila wanyama wangu watakuwa wanachinjwa na waislam.Watakuwa wanachinjwa na waislam siyo kwa sababu za kidini bali kwa sababu waislam huwa wanajua kuchinja vizuri.
Mkuu Hapana usiseme kwamba waislam wanajua kuchinja vizuri

Mimi natokea Jamii ya wafugaji(kabila)....Sukuma,Gogo,Masai like

Sisi tumekua na mifugo ng'ombe,mbuzi,punda na Kondoo kizazi cha 8 saivi(kwa historia niliyofuatilia na kuiandika, nataka nichapishe kitabu)

Miaka ya 70 mimi nazaliwa nimemkuta Babu yangu ana ng'ombe zaidi ya 1000(Sio idadi ya ukweli lakini....mfugaji hatajagi idadi ya kweli ya mifugo yake kamwe. Na akikutajia ujue amekudanganya Hahaha)

Maana yangu ni kwamba kwa familia/koo/kabila ambazo ni wafugaji 100% hakuna mchinjaji mzuri kupita hao ukamlinganisha na muislam

Waislam nawaheshimu sana na mimi nyumbani kwangu hata kuku namuita jirani Ali aje atuchinjie kwasababu ya utengamano, lakini hata siku moja hawezi kufikia skills nilizonazo mimi za kuchinja( Ni mafunzo mtoto wa kiume toka nikiwa labda na miaka 5 nakumbuka nashirikishwa hizo shughuli)

Nimeanza kuchinja mbuzi wangu wa kwanza nikiwa kama na miaka 11 hivi baada ya Jando( So tuna uzoefu na pia ni kitu tumerithi damuni)

Ng'ombe mkubwa naweza kumchinja nikiwa pekeyangu, na pia mnaweza kuja kuiba ng'ombe hata 6 kwako nyumbani tukiwa vijana wawili au watatu tu tukachinja na kuchuna na kuondoka na nyama asubuhi ukaamka unakutana na ngozi tu na utumbo na usisikie chochote( Wizi wa mifugo ni umwamba kwetu)

Hii kitu sidhani kama ipo katika upande wa dini zilizoletwa lakini zaidi nadhani ipo kikabila na asili ya mtu na mafunzo anayopata kijana kabla ya balehe/jando

Na ndio maana mimi naheshimu sana dini ya asili kuliko hii ya kubatizwa niliyo nayo mjini
 
Kuna wadau wamesema hiyo ina maana yake kimila...
USHIRIKINA!

Ukweli ni kwamba Wachagga wanafunga mwaka kwa MATAMBIKO!

Hii habari ya kurudi eti kusherehekea Christmas nyumbani ni Camouflage tu sababu ushirikina ni sifa mbaya!
Hata ww hujitambui aliekumbia matambiko ni ushirikina nani, tambiko ndio dini ya asili ya mwafrika hizo nyingine mbwembwe tu
 
Mkuu Hapana usiseme kwamba waislam wanajua kuchinja vizuri

Mimi natokea Jamii ya wafugaji(kabila)....Sukuma,Gogo,Masai like

Sisi tumekua na mifugo ng'ombe,mbuzi,punda na Kondoo kizazi cha 8 saivi(kwa historia niliyofuatilia na kuiandika, nataka nichapishe kitabu)

Miaka ya 70 mimi nazaliwa nimemkuta Babu yangu ana ng'ombe zaidi ya 1000(Sio idadi ya ukweli lakini....mfugaji hatajagi idadi ya kweli ya mifugo yake kamwe. Na akikutajia ujue amekudanganya Hahaha)

Maana yangu ni kwamba kwa familia/koo/kabila ambazo ni wafugaji 100% hakuna mchinjaji mzuri kupita hao ukamlinganisha na muislam

Waislam nawaheshimu sana na mimi nyumbani kwangu hata kuku namuita jirani Ali aje atuchinjie kwasababu ya utengamano, lakini hata siku moja hawezi kufikia skills nilizonazo mimi za kuchinja( Ni mafunzo mtoto wa kiume toka nikiwa labda na miaka 5 nakumbuka nashirikishwa hizo shughuli)

Nimeanza kuchinja mbuzi wangu wa kwanza nikiwa kama na miaka 11 hivi baada ya Jando( So tuna uzoefu na pia ni kitu tumerithi damuni)

Ng'ombe mkubwa naweza kumchinja nikiwa pekeyangu, na pia mnaweza kuja kuiba ng'ombe hata 6 kwako nyumbani tukiwa vijana wawili au watatu tu tukachinja na kuchuna na kuondoka na nyama asubuhi ukaamka unakutana na ngozi tu na utumbo na usisikie chochote( Wizi wa mifugo ni umwamba kwetu)

Hii kitu sidhani kama ipo katika upande wa dini zilizoletwa lakini zaidi nadhani ipo kikabila na asili ya mtu na mafunzo anayopata kijana kabla ya balehe/jando

Na ndio maana mimi naheshimu sana dini ya asili kuliko hii ya kubatizwa niliyo nayo mjini
Jibu maswali yangu haya matatu ili twende sawa:

1.Ni wakati gani tunaweza kusema kwamba mtu amechinja mnyama vizuri na ni wakati gani tunaweza kusema kwamba mtu amechinja mnyama vibaya?

2.Taja sifa/features za kuchinja mnyama vizuri

3.Wewe huwa unachinjaje?
 
wachaga wote wanapenda uchawi wa kuchinja mbuzi. nimeshaona kwa washkaji wawili mmoja alikua anaumwa ; akawa anasema kaka ake ndo anamchezea. ilikua pasaka mwaka jana wakaitwa wote kijijini kibosho. kwenda kula mbuzi ili wajue mchawi ni nani .maskin baada ya jamaa kula nyama mda uleule .hali ilibadilika akafa R.i.p Mwacha . mwingine alifia arusha kumpeleka rombo . wakachinja mbuzi damu na utumbo ndo vilitangulizwa kabulini duuu skua na hamu ya kuzika tena
 
Hapo kwenye kumziba pumzi hadi afe sio kweli mkuu labda wachaga wapo tofauti ila Marangu tukishamziba mdomo kuna visu vyetu venye ncha mbili kali tunatoboa kifuani tunalenga Moyo.
Marangu mila zilishaisha, Mimi naongelea kule Usseri na Tarakea ambako mila bado zimeshika kasi. Kule ni mpaka mbuzi afe kwa kuzibwa pumzi ndio suala la kumtoboa koromeo linafuata.
 
Sasa Mbuzi unaweza kuziba mdomo na kuchinja/kutoboa.. sasa ikiwa mnachinja Ng`ombe wa mila mnafanyaje? Nae mnashikilia mdomo kufunga? Ki vipi?

Wewe umesikia wapi mkuu kwamba hio jamii ni wachawi? Unafikiri uchawi ndio hiyo kufuga misukule? Uchawi ni everything like air..hata maandishi haya unayosoma yanaweza kuwa yakichawi.usikariri tunguli tu
Eti uchawi Ni everything like air[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom