The Interpreter
Member
- Mar 14, 2019
- 87
- 60
Nadhani Ni Wachaga Wote Tu, Full Kumshirikisha Mungu Aisee It's A Shame!Warombo ni washirikina sana,kinachowasaidia wanajua kulinda brand yao kwakutoyaweka wazi mambo yao yakishirikinashirikina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Ni Wachaga Wote Tu, Full Kumshirikisha Mungu Aisee It's A Shame!Warombo ni washirikina sana,kinachowasaidia wanajua kulinda brand yao kwakutoyaweka wazi mambo yao yakishirikinashirikina.
Ujinga mtupu, hyo ni asili yao sasa unataka wachinje utakavyo wewe?Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.
Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.
Happy New Year!
Wala syo mila ni utaratibu tu wa kawaida, kelele za kuchinjwa zinafanya wengine wakose hamu ya kumla kwa kuona hurumaMkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.
Hata hii komenti yako imetosha..😅😂😂😂sitaki nikukatishe tama ya kula mdudu 😋😋🐖🐷
Hiyo ni asili yao kwan kuna madhara gani tena anabanwa pumzi mpaka afe ndio achinjwe kikwetuNimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.
Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.
Happy New Year!
Mkuu Hapana usiseme kwamba waislam wanajua kuchinja vizuriMimi ni mchaga original na dini yangu ni Catholic ila wanyama wangu watakuwa wanachinjwa na waislam.Watakuwa wanachinjwa na waislam siyo kwa sababu za kidini bali kwa sababu waislam huwa wanajua kuchinja vizuri.
Kwa kuwa hayo ni matambiko naukubali ujinga katika hilo!Ujinga mtupu, hyo ni asili yao sasa unataka wachinje utakavyo wewe?
Hata ww hujitambui aliekumbia matambiko ni ushirikina nani, tambiko ndio dini ya asili ya mwafrika hizo nyingine mbwembwe tuKuna wadau wamesema hiyo ina maana yake kimila...
USHIRIKINA!
Ukweli ni kwamba Wachagga wanafunga mwaka kwa MATAMBIKO!
Hii habari ya kurudi eti kusherehekea Christmas nyumbani ni Camouflage tu sababu ushirikina ni sifa mbaya!
Ng'ombe anatumika kwenye mila pia huzibwa mdomo halafu kwenye pua inaingizwa vitoto vya mgomba kuziba pumzi mpaka anakufa.Mkuu uchagani n'gombe hafai kwa mila
Jibu maswali yangu haya matatu ili twende sawa:Mkuu Hapana usiseme kwamba waislam wanajua kuchinja vizuri
Mimi natokea Jamii ya wafugaji(kabila)....Sukuma,Gogo,Masai like
Sisi tumekua na mifugo ng'ombe,mbuzi,punda na Kondoo kizazi cha 8 saivi(kwa historia niliyofuatilia na kuiandika, nataka nichapishe kitabu)
Miaka ya 70 mimi nazaliwa nimemkuta Babu yangu ana ng'ombe zaidi ya 1000(Sio idadi ya ukweli lakini....mfugaji hatajagi idadi ya kweli ya mifugo yake kamwe. Na akikutajia ujue amekudanganya Hahaha)
Maana yangu ni kwamba kwa familia/koo/kabila ambazo ni wafugaji 100% hakuna mchinjaji mzuri kupita hao ukamlinganisha na muislam
Waislam nawaheshimu sana na mimi nyumbani kwangu hata kuku namuita jirani Ali aje atuchinjie kwasababu ya utengamano, lakini hata siku moja hawezi kufikia skills nilizonazo mimi za kuchinja( Ni mafunzo mtoto wa kiume toka nikiwa labda na miaka 5 nakumbuka nashirikishwa hizo shughuli)
Nimeanza kuchinja mbuzi wangu wa kwanza nikiwa kama na miaka 11 hivi baada ya Jando( So tuna uzoefu na pia ni kitu tumerithi damuni)
Ng'ombe mkubwa naweza kumchinja nikiwa pekeyangu, na pia mnaweza kuja kuiba ng'ombe hata 6 kwako nyumbani tukiwa vijana wawili au watatu tu tukachinja na kuchuna na kuondoka na nyama asubuhi ukaamka unakutana na ngozi tu na utumbo na usisikie chochote( Wizi wa mifugo ni umwamba kwetu)
Hii kitu sidhani kama ipo katika upande wa dini zilizoletwa lakini zaidi nadhani ipo kikabila na asili ya mtu na mafunzo anayopata kijana kabla ya balehe/jando
Na ndio maana mimi naheshimu sana dini ya asili kuliko hii ya kubatizwa niliyo nayo mjini
Mwenzako huyo anaogopa kuona mbuzi akichinjwa.... Inastaajabisha kweli..Njoo ngorongoro uone ninavyochinja mbuzi,kondoo na ng'ombe
Nani kakwambia ni matambiko, acha ujingaKwa kuwa hayo ni matambiko naukubali ujinga katika hilo!
Kwasababu asili ya chadema ni uchaganiUkishakuwa CCM ni hatari Sana. Mbona chadema wanaelewa kila kitu kuusu mbuzi kuchinjwa hivyoo.
Mi ✊ Tena.
Marangu mila zilishaisha, Mimi naongelea kule Usseri na Tarakea ambako mila bado zimeshika kasi. Kule ni mpaka mbuzi afe kwa kuzibwa pumzi ndio suala la kumtoboa koromeo linafuata.Hapo kwenye kumziba pumzi hadi afe sio kweli mkuu labda wachaga wapo tofauti ila Marangu tukishamziba mdomo kuna visu vyetu venye ncha mbili kali tunatoboa kifuani tunalenga Moyo.
Doooh huu Ni unyanyasaji wa wanyama...Mkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.
Eti uchawi Ni everything like air[emoji1][emoji1][emoji1]Sasa Mbuzi unaweza kuziba mdomo na kuchinja/kutoboa.. sasa ikiwa mnachinja Ng`ombe wa mila mnafanyaje? Nae mnashikilia mdomo kufunga? Ki vipi?
Wewe umesikia wapi mkuu kwamba hio jamii ni wachawi? Unafikiri uchawi ndio hiyo kufuga misukule? Uchawi ni everything like air..hata maandishi haya unayosoma yanaweza kuwa yakichawi.usikariri tunguli tu