Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.
Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.
Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.