Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani

Tatito watu wanaweka pesa ndani kwa mfumo wa dola, matokeo yake hazipatikani
 
Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.

Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.

Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
Kwan c kuna chawa wa mama humu walisema tatizo ni maduka ya kubadili fedha ndio yamesababisha uhaba wa dollar? Au ni njaa zao tu hawa machawa!!
 
Ogopa sana uchumi wa nchi kusimamiwa na mtu muda wote amevaa tai ya bendera ya taifa
 
Kwani Mwigulu bado waziri wa fedha etii?
 
Sijawahi kumwamini mwanamke, sijawahi kumwamini mwarabu, sijawahi kumwamini mzanzibar na sijawahi kumwamini muislamu kwenye mambo yoyote yanayohitaji matumizi makubwa ya akili.
Wazungu wameanza kuamini hao usiowaamini kuendesha Bandari zao, kuendesha ligi zao za Mpira, kuruhusu kuwekeza kwenye masoko yao ya mitaji n.k

Sasa Wewe usipowaamini wanapungukiwa nini?

Kama ukashindwa kumuamini Mtawala wa UAE aliwezesha kubadili maisha ya watu wake ndani ya muda mfupi kwa kuwa tu ni Muislam, Muarabu ukaenda kuamini kina Emmerson Mnangagwa, William Ruto na Yoweri Museveni kwa kuwa Weusi na Wakristo wenzio hilo ni tatizo lako binafsi

Huyo Muislam usiemuamini ndio kawahakikishia amani Wakristo wenzio waliokimbia Nchi baada ya kukoswa koswa kuuawa na Mkristo mwenzio

Huyo Mwislam ndio kawarudishia Mali zao Wakristo wenzio walioporwa na Mkristo mwenzio

Mdini Mkubwa Wewe Nyangalakata waahed
 
Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.

Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.

Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
we ulikuwepo huo mwaka au umehadithiwa
 
Hii si kweli labda haukuwepo.
 
Sijawahi kumwamini mwanamke, sijawahi kumwamini mwarabu, sijawahi kumwamini mzanzibar na sijawahi kumwamini muislamu kwenye mambo yoyote yanayohitaji matumizi makubwa ya akili.
Kweli kaka..hawa watu wanauswahili Sana. Mpango akiwa Rais haya Mambo yataisha
 
Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.

Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.

Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
Simple tu, tumetumia fedha za kigeni kulipia madeni. Sasa sijui usd tulizokopa zimeenda wapi hadi nchi inakosa fedha hasa USD 🤔
 
Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.

Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.

Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
Siyo kweli.

Mwinyi alipokabishiwa hii nchi alisema hajakuta pesa kabisa benki, pakavu. Ilikuwa mwaka gani hiyo?
 
Ukweli ni kwamba kunawakati hatukuwa na dawa hospitalini na zakusafisha maji(mamlaka za maji) mafuta kwa mgao marufuku kidumu, safari za nje kwa kibali toka Benki Kuu na mengine mengi.
Nyerere alikataa masharti ya mkopo. Ndio maana akang'atuka. Tulivyokubali mashart wakati wa mwinyi shilingi ikaanguka mpaka leo
 
Ila tanzania ilitoka uchumi mdogo kwenda wa kati. Kwa sababu akili iliyokuwa inaongoza nchi ilikuwa kubwa, saiz vilaza ndo wamejaa bungeni na wizarani
Vilaza waliopo Bungeni ni matokeo ya hao akili kubwaaz kwny uchaguzi wa 2020
 
Back
Top Bottom