Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kuna Vita ya ufisudiMwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.
Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.
Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
Kumbe waziri wa pesa ni nani vile? Tujikumbushe na elimu yakeMwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.
Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.
Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
picha?1986 UHABA WA PESA ULITOKEA
🚶Wanasema ni tatizo la Dunia nzima. Federal Bank imepandisha interest rate.
Hivyo ndivyo atakavyojibu, Mwigulu Nchemba, mchumi first class, Ph.D.
Atamalizia kwa kusema, uchumi muachieni yeye, jadilini uganga. Kama hamtaki hamieni Burundi.
🤣🤣🤣🤣chadema wameleta vita ya kiuchumi hamjui tuh
HahahahahaWanasema ni tatizo la Dunia nzima. Federal Bank imepandisha interest rate.
Hivyo ndivyo atakavyojibu, Mwigulu Nchemba, mchumi first class, Ph.D.
Atamalizia kwa kusema, uchumi muachieni yeye, jadilini uganga. Kama hamtaki hamieni Burundi.
Usitupange Kuna muda serikali iliweka sera nzuri ya ubadilishaji fedha. Wenye akili kuliko mwenye akili wakatoa hiyo sheria. HahahhaCHUKI ZAKO IPO SIKU ZITAKUUWA MWENYEWE,NCHI YETU KWA SASA INANUNUA MACHINERY NYINGI NJE KWA AJILI YA VYUMA VYA RELI,BAADHI YA VIFAA VYA GHARAMA KUBWA VYA DAMS ZA UMEME ZENYE UHITAJI WA MILLIONS OF DOLLARS,HAYA YAKIISHA HALI ITA STABILIZE.
NOTE THIS!
Sababu ya uhaba huu ni kwamba nchi imevamiwa na kutekwa na mafisadi. Wako mpaka ikuluMwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.
Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.
Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
Chawa Wanasema mama anahujumiwaMwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali.
Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na kuchukua akiba yake kununua silaha za kujihami dhidi ya Amin Dada.
Kwa mara ya kwanza, toka mwaka 1979 nchi inapata uhaba wa pesa za kigeni. Tupewe sababu za uhaba huo.
Aahaaaaa,Chadema kumbe Wana nguvu hivyochadema wameleta vita ya kiuchumi hamjui tuh
🤣🤣🤣Chawa Wanasema mama anahujumiwa