Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza watanzania tunashuhudia Chama cha Siasa chenye mgombea Urais 100% Kibaraka

Tundu lisu amewakosesha usingizi ccm mda mwingi wanamuwaza mpaka wameshindwa kufanya kazi zao, mungu amlinde Tundu lisu angalau chadema ije kuirejesha heshima ya Tanzania iliyopotezwa na ccm kimataifa
 
Ushuzi mtupu.....
 
TL hawezi kuwa rais,utake usitake.
 
Siyo kibaraka tu ni psychiatric case!

Msikilize kwa makini utagundua ana matatizo ya akili. Amejawa na hasira na akili yake imekuwa blurred na kushindwa kuuona ukweli kwa mapana na uhalisia. Kutokana na hili hana utulivu wa akili na utulivu wa "emotions".

Kuna post moja ya mtaalam wa "magonjwa ya akili" nafikiri ni mtanzania anayeishi Canada iliwekwa hapa jamvini yenye maelezo ya kitaalam kwa nini TL ana matatizo ya akili. Anayeweza kuifukua hiyo post afanye(kama bado haijafutwa).
 
Kama angegombea ubunge hapo sawa ila urais!!! Yeye na wanzake wanamsindikiza Ngosha Ikulu.
 

Tumewaona machina wakiwa na sare za CCM ,jee hawa ni mabeberu wa CCM wasio mikia?
 
Mara hatopita, mara mnaomba usiku na mchana. Unanivuruga tu.

Nikufahamishe tu, Mungu (kama sio "mungu") unayemuomba ndiye huyohuyo anayeombwa na kukumbushwa juu ya ukatili ulitendeka juu ya huyo unayemwita "kibaraka" . Sasa acha mapenzi yake yatimie.
 

Matatizo ya akili kumzidi mvuta bangi Magu fool?
 
Mbona mnatoa povu sana ninyi kijani na bado mtaimba mpaka singeli.
 
Mnalialia nini? Hivi msingempiga marisasi yale angeenda kukaa Kenya au Belgium?
Basi kama ni kibaraka mmemtengeneza wenyewe acha awanyoonshe mpaka mkome na jiwe lenu lirudi kwao burudi.
 
Tundu Lissu ni kibaraka kweli na wa hali ya juu kwa ukibaraka lakini hataweza kuingia Ikulu...
 
Kuna mtu akiandika uzi utadhani katanua miguu kwenye shimo la choo "anataga"!God have mercy on him!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mnalialia nini? Hivi msingempiga marisasi yale angeenda kukaa Kenya au Belgium?
Basi kama ni kibaraka mmemtengeneza wenyewe acha awanyoonshe mpaka mkome na jiwe lenu lirudi kwao burudi.
Ni Nani alimpiga risasi?! Je pengine chadema inahusika kwa Hilo?? Kama watu wanaamua kuchoma ofisi zao wenyewe kwanini wasifanye kitendo hicho...watu wamelewa na kudondoka halafu wanasingizia wameumizwa Sana huoni kuwa huo ni uchuro? Lissu will never be the president of this country...yeye mwenyewe knows hawezi kushinda yaani hata asilimia 10 ya kura hatapata...isipokuwa Yuko hapa kwa mission maalum na ambayo nayo inafikia ukingoni...Bado ile ya kuhamasisha watu waingie mitaani na ambayo nayo itafeli kwani hakuna mtu atakayeingia mtaani baada ya matokeo kutangazwa...
 
"Watanzania mnataka"??

Sasa kama mtu hamumtaki si mnamkataa kwenye sanduku la kura?
Mnakwama wapi enyi chamadola?
Mtu hamumtaki, mnadai pia watanzania hawamtaki, basi wekeni fair playground, ifike siku ya uchaguzi watanzania waamue wanamtaka nani kupitia sanduku la kura, kama wanamtaka kibaraka wa mabeberu, sawa, kama wanamtaka dikteta mweusi, sawa, kama wanamtaka mpishi wa ubwabwa, sawa!
Hii mambo ya mtu hamumtaki halafu mnaplot assaults dhidi yake itawarudia, maana hatuna utawala wa aina hiyo, tuna utawala wa katiba na sheria.

Heshimuni katiba na sheria, tofauti na hapo tutawapa nguvu wananchi!
 
Mbona tangu 2015 tuna kibaraka wa Kagame na haujaanzisha uzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…