Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Mtandao wa vodacom ulidhibitiwa kukwamisha zoezi(tunaendelea kuchunguza)
 
Masikini anamchangia mwenye pesa, hii ndio bongo
 
Nasubiri mashahara uingie nitoe mchango wangu kwa dhati kabisa,
Kipindi hiki tunakwara PRADO TX ile new model sokoni
 
Kichwa cha kuku hakibebi mzigo hivi mnachangiaje mtu hela kununua gari ili hali ni tajiri yaani wabongo wengi kichwani ni weupe kila mtu apambane na hali yake .
Asante
Wewe usichange . Tuache tuchange? Kuna taasisi tajir kama RC? Mbona wenyewe ndiyo wanaongoza kwa michango na sandaka? Sasaivi wanajrnga KIGANGO Kigamboni na kila aliyebatizwa anatoa 2000/= kwann kanisa lisijenge lenyewe?
Acha kupotosha
 
Kuchangia viongozi ni utamaduni wetu, sasa tunamchangia Lissu gari, na hata Mwalimu Nyerere pia alichangiwa fedha na wananchi ili aende Umoja wa Mataifa kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kuchangia kiongozi ni upendo walio nao wananchi, na ndio namna yao ya kuuelezea, sasa wananchi watamuhongaje kiongozi wao?

Ni utamaduni umeanza tangu enzi za Mwalimu.

Kwa hiyo wanaomchangia Lissu gari pia wanamuhonga? Wanamchangia ili afanye kampeni aupate urais, na wengine wanachanga ili mtu wao akapiganie nafasi yake
 
Comments reserved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…