Acha lolo lolo hizo...haya mambo yapoHakuna pesa za namna hiyo mjomba , hizo ni blabla tu kwenye vijiwe vya kahawa
Hawa watu ndo wale wanaopiga wenzao kisa kushikwa bega kwa kudai kupotelewa na nyeti.Hakuna pesa za namna hiyo mjomba , hizo ni blabla tu kwenye vijiwe vya kahawa
Watu wanatafuta faraja kwa nguvu ili kuhalalisha umasikiniHakuna pesa za namna hiyo mjomba , hizo ni blabla tu kwenye vijiwe vya kahawa
Usisaidie ndugu wazazi kwa sababu hela za namna hiyo hazipo, ni kama yale ya kuvaa pini tuAu usisaidie ndg wala wazazi...sasa unajiuliza nini maana ya pesa
Kwa hiyo kuambiwa tu hivyo tayari umeamini bila kujaribu, siyo?Aya mambo huwa yapo, katika harakati zangu za ujana nilijikuta nimeingia chimbo moja. Maelekezo waliyonipa, sitakiwi kuchepuka, sitakiwi kunywa pombe, sitakiwi kula kitimoto, kutoa sadaka kila mwaka (mnyama). kama ningekubali, wangenichana sehemu ya mwili na kupandikiza dawa iliyofungwa kwenye ngozi ya mnyama (jini). Mafanikio yangeonekana kwa kila ninachokifanya kinakuwa kinazaa mara dufu. Swali, unakuwa na hela ila uzifurahii ni nini maana ya hela?
Hapo nipo ofisini , ningesema ndio mchakato ungeanza pale pale. Niliposema hapana, tukaanza kupambana na kuongeza nguvu za kiume.Kwa hiyo kuambiwa tu hivyo tayari umeamini bila kujaribu, siyo?
😁😁😁😁.Hapo nipo ofisini , ningesema ndio mchakato ungeanza pale pale. Niliposema hapana, tukaanza kupambana na kuongeza nguvu za kiume.
una bahati hukutiiAya mambo huwa yapo, katika harakati zangu za ujana nilijikuta nimeingia chimbo moja. Maelekezo waliyonipa, sitakiwi kuchepuka, sitakiwi kunywa pombe, sitakiwi kula kitimoto, kutoa sadaka kila mwaka (mnyama). kama ningekubali, wangenichana sehemu ya mwili na kupandikiza dawa iliyofungwa kwenye ngozi ya mnyama (jini). Mafanikio yangeonekana kwa kila ninachokifanya kinakuwa kinazaa mara dufu. Swali, unakuwa na hela ila uzifurahii ni nini maana ya hela?
alikusimuliaKuna mwamba kwake kuna kaburi 7 amezisakafia zote.Amemalza familia kisa tamaa hana wazazi mke wala watoto.Ila anabiashara za kutosha na magari ya kifahar.Ila haish nafurah ili anajutia kuingia mikataba na kuzim.Asipotoa kafara majin yanamtokea yanamtesa.Bora kufa maskin kulk kuwa mtumwa wa shetan
Ndiyo rafiki yangu ambaye yupo chama cha siralikusimulia
Mwanzoni wanadanganya utatoa sadaka ya wanyama, Ukishaijua ladha ya utajiri gia zinabadilishwa angani.Aya mambo huwa yapo, katika harakati zangu za ujana nilijikuta nimeingia chimbo moja. Maelekezo waliyonipa, sitakiwi kuchepuka, sitakiwi kunywa pombe, sitakiwi kula kitimoto, kutoa sadaka kila mwaka (mnyama). kama ningekubali, wangenichana sehemu ya mwili na kupandikiza dawa iliyofungwa kwenye ngozi ya mnyama (jini). Mafanikio yangeonekana kwa kila ninachokifanya kinakuwa kinazaa mara dufu. Swali, unakuwa na hela ila uzifurahii ni nini maana ya hela?
akasemejaNdiyo rafiki yangu ambaye yupo chama cha sir
masharti ukitaka kushiriki mapenzi shiriki na mtoto wako